Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe lakini hapa utasikia kila mtu anakuja na ujuzi wake ilihali wao wenyewe hawana hata uwezo wa kwenda round 2 na hawapigi kunyeto, shida huwa nini? Kutosimamisha vizuri kunasababishwa na mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na matumizi fulani ya dawa za matibabu,madawa ya kusisimua,upasuaji wa tezi,vyakula,magonjwa ya zinaa na kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Pia yapo mengine mengi zaidi mfano msongo wa mawazo,maradhi ya muda mrefu na n.k
Punyeto wengi husema inapunguza Nguvu za kiume lakini ukiongea na wapiga Punyeto watakwambia majibu tofauti na hayo wasemayo wataalam wa kwenye vitabu. Mtu alikua ni mpiga punyeto wa miaka mingi na sasa ameoa wake wa nne na wote wana enjoy ndoa.
Niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kwamba kabla hajaenda kufanya mapenzi na mkewe ni lazima ajichue kwanza ndipo akafanye mapenzi na mkewe.
Nilimuuliza kwanini unafanya hivyo? akajibu goli la kwanza huwa linakiherehere kwasababu halizidi dakika 10 anakua amekojoa kuliko goli la pili na kuendelea ambalo humfanya afurahi yeye na mkewe kutokana na kuchukua zaidi ya dakika 30 mpaka 40. Unaposema kujichua kunapunguza Nguvu unatakiwa uangalie na afya ya mtu pamoja na maumbile yake,kuna watu wanafanya hivyo kama uraibu fulani( ulevi) lakini uwezo wao uko palepale