Masturbation

Masturbation

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
88
Reaction score
89
Jaman wadau wenye vivid details about masturbation na effects zake plz cz kuna mtu hapa kaniulza nimempa majibu but dogo anakaza fuvu hataree hb wana bios madoctor mnipe hata link ili iwasaidie na wengne humuhumu
 
kama anakaza mwambie aendelee kupiga nyeto tu ataona baadae
 
Mashine yake wewe unalialia nini??
Au unamuonea wivu yeye kufaidi.
Kama unadhani chaputa ni ya wote siupige na wewe..

Jiki chama ni vha wateule tu
Baba mzaramo nn!?? (Not ur Hm ) think great kama hujui kausha wanaojua wajibu_ waziiii!??
 
Acha punyeto dogo.effects zake Ni kwamba hutakwenda mbinguni na utakutana na mabaya mbeleni na ujilaumu mwenyewe.
 
NA HAYA HAPA MADHARA YA KUJICHUA/
PUNYETO
1-Kuathirika kisaikolojia
2-Kuuwa nguvu asilia za mwilini
3-Kutokwa na jasho jingi kila Mara
4-Kutoeza kudhibiti mkojo
5-Kujikojolea Mara tyu ufunguapo mlango Wa chop
6-Kujawa na uchovu mwilini
7-Kuwa mvivu Wa kupindukia
8-Kujawa na mate mazito mdomoni
9-Kupoteza nguvu za macho
10-Kudungwa na pini magotini hasa upandapo ngazi au mlima
11-Kujawa na usingizi
12-Kulala mapema mda Wa magharibi
13-Kupumua haraka haraka
14-Kuwaogopa wanawake
15-Kuzaliwa watoto wasiokuwa wako
16-Kukojoa mapajani mwa mwanamke
17-Kuchukia sex
18-Kushindwa kurudia tendo LA ndoa kwa Mara ya pili
Kwa hayo na mengine hapa TIBA [emoji116]
Wsiliana nami
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
Asante xnaaa nahisi @carcinona umeelewa acha kuvamia bogi
 
Wenye chama chao watasema apo kwa madhara [emoji121],,hamna hata dhara moja la ukweli,,
 
Puli ninavyoijua mm ni kwamba kila kitu ukizidisha kinakuwa harmful ila kama unapiga kama mm once a week mbona fresh tu ya kiafya inaruhusiwa kabisa
 
Jaman wadau wenye vivid details about masturbation na effects zake plz cz kuna mtu hapa kaniulza nimempa majibu but dogo anakaza fuvu hataree hb wana bios madoctor mnipe hata link ili iwasaidie na wengne humuhumu

Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe lakini hapa utasikia kila mtu anakuja na ujuzi wake ilihali wao wenyewe hawana hata uwezo wa kwenda round 2 na hawapigi kunyeto, shida huwa nini? Kutosimamisha vizuri kunasababishwa na mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na matumizi fulani ya dawa za matibabu,madawa ya kusisimua,upasuaji wa tezi,vyakula,magonjwa ya zinaa na kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Pia yapo mengine mengi zaidi mfano msongo wa mawazo,maradhi ya muda mrefu na n.k

Punyeto wengi husema inapunguza Nguvu za kiume lakini ukiongea na wapiga Punyeto watakwambia majibu tofauti na hayo wasemayo wataalam wa kwenye vitabu. Mtu alikua ni mpiga punyeto wa miaka mingi na sasa ameoa wake wa nne na wote wana enjoy ndoa.

Niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kwamba kabla hajaenda kufanya mapenzi na mkewe ni lazima ajichue kwanza ndipo akafanye mapenzi na mkewe.

Nilimuuliza kwanini unafanya hivyo? akajibu goli la kwanza huwa linakiherehere kwasababu halizidi dakika 10 anakua amekojoa kuliko goli la pili na kuendelea ambalo humfanya afurahi yeye na mkewe kutokana na kuchukua zaidi ya dakika 30 mpaka 40. Unaposema kujichua kunapunguza Nguvu unatakiwa uangalie na afya ya mtu pamoja na maumbile yake,kuna watu wanafanya hivyo kama uraibu fulani( ulevi) lakini uwezo wao uko palepale
 
Baba tsha sana
 
Umeongea vyema kabsa mkuu
 
Umeongea vyema kabsa mkuu
Kuna jamaa yangu asha wahi kupiga punyeto,sasa ukafika mda wa kukojoa so mkojo ulitoka na dam sasa sijui hapa alijichua sana or ndo effect zenyewe
 
Back
Top Bottom