R Ruiz Senior Member Joined Dec 27, 2015 Posts 171 Reaction score 70 Jan 12, 2016 #1 Habari ndugu wana JF, Naombeni mwenye ujuzi au hata idea juu ya masuala ya modelling (uanamitindo ) anifungue macho na ikiwezekana connection zake maana napenda sana lakini sijui nitaanzia wapi. Msaada jamani
Habari ndugu wana JF, Naombeni mwenye ujuzi au hata idea juu ya masuala ya modelling (uanamitindo ) anifungue macho na ikiwezekana connection zake maana napenda sana lakini sijui nitaanzia wapi. Msaada jamani
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Jan 12, 2016 #2 Mtafute Hashim Lundenga alafu ukubaliane na mashariti yake!!
love more than100 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2014 Posts 2,061 Reaction score 715 Feb 21, 2016 #3 Dar fursa nyingi na kambi za warembo zipo na ukisikia mashindano yoyote ya urembo nenda join ndio mwanzo wa chanel
Dar fursa nyingi na kambi za warembo zipo na ukisikia mashindano yoyote ya urembo nenda join ndio mwanzo wa chanel