Masuala ya mitindo Tanzania

Masuala ya mitindo Tanzania

Ruiz

Senior Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
171
Reaction score
70
Habari ndugu wana JF,

Naombeni mwenye ujuzi au hata idea juu ya masuala ya modelling (uanamitindo ) anifungue macho na ikiwezekana connection zake maana napenda sana lakini sijui nitaanzia wapi.

Msaada jamani
 
Mtafute Hashim Lundenga alafu ukubaliane na mashariti yake!!
 
Dar fursa nyingi na kambi za warembo zipo na ukisikia mashindano yoyote ya urembo nenda join ndio mwanzo wa chanel
 
Back
Top Bottom