Masuala ya Utumishi, Tamisemi na sehemu nyingine

Masuala ya Utumishi, Tamisemi na sehemu nyingine

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Habari wana JF!

Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo.

Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye mchakato mzima kuanzia
  • Kufungua akaunti
  • Kuweka picha,
  • Ku upload vyeti
  • Kureset Password
  • Na kutuma maombi
Nafanya hivyo kwa bei nafuu sana ukiwa huko huko ulipo, au una ndugu jamaa au rafiki we mwambie.
just PM me.

Karibu Nikuhudumie. Usinyamze.
 
Nataka kubadili email ya ajira portal, nilitumia isiyo rasmi miaka hiyo! Unaweza!??
 
Back
Top Bottom