jastertz JF-Expert Member Joined Jul 4, 2020 Posts 407 Reaction score 768 Apr 28, 2023 #1 Habari wana JF! Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo. Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye mchakato mzima kuanzia Kufungua akaunti Kuweka picha, Ku upload vyeti Kureset Password Na kutuma maombi Nafanya hivyo kwa bei nafuu sana ukiwa huko huko ulipo, au una ndugu jamaa au rafiki we mwambie. just PM me. Karibu Nikuhudumie. Usinyamze.
Habari wana JF! Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo. Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye mchakato mzima kuanzia Kufungua akaunti Kuweka picha, Ku upload vyeti Kureset Password Na kutuma maombi Nafanya hivyo kwa bei nafuu sana ukiwa huko huko ulipo, au una ndugu jamaa au rafiki we mwambie. just PM me. Karibu Nikuhudumie. Usinyamze.
April26 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2020 Posts 1,405 Reaction score 2,147 Apr 28, 2023 #2 Nataka kubadili email ya ajira portal, nilitumia isiyo rasmi miaka hiyo! Unaweza!??
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Apr 28, 2023 #3 Safi sana
walikuyu JF-Expert Member Joined Jul 27, 2018 Posts 934 Reaction score 1,981 Apr 28, 2023 #4 April26 said: Nataka kubadili email ya ajira portal, nilitumia isiyo rasmi miaka hiyo! Unaweza!?? Click to expand... Na mimi hii inanihusu, nilitaka kufahamu ili limekaaje Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
April26 said: Nataka kubadili email ya ajira portal, nilitumia isiyo rasmi miaka hiyo! Unaweza!?? Click to expand... Na mimi hii inanihusu, nilitaka kufahamu ili limekaaje Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app