Masudi anatumia nn kuchora zile katuni ? Ni vifaa vya kidigital au karatas na pen!?

Masudi anatumia nn kuchora zile katuni ? Ni vifaa vya kidigital au karatas na pen!?

Ndo ikoje hyo
6330449cv12d-3126960645.jpg
 
Ni vifaa vya kidigitali vinatumika. Zamani ilikuwa penseli, kalamu maalumu ya kuchorea na karatasi mchoro unakwenda gazetini kwa hatua za uchapaji
 
Drawing pad zipo nyingi mpaka za $35 .
Zipo standalone na unazounganisha na Photoshop kwenye pc
 
Technologist njooni mtoe majibu

nilivutiwa sana na uchoraji wake
Katika moja ya mafunzo kwa wasanii wa sanaa ya uchorahi Kipanya amewahi kusema anatumia programu za kidijitali kama Adobe Illustrator, Photoshop, na Procreate ili kuboresha ubunifu wake. Pia, anatumia tablets za kuchora kama "Wacom" au iPad Pro kwa uchoraji wa kidijitali....


Ila yote hayo ni kazi bure kama utakua huna ideas za kuchorea hizo katuni, so mwamba huwa anatumia muda mwingi sana kubuni mawazo..
 
Back
Top Bottom