Masudi anatumia nn kuchora zile katuni ? Ni vifaa vya kidigital au karatas na pen!?

Ni vifaa vya kidigitali vinatumika. Zamani ilikuwa penseli, kalamu maalumu ya kuchorea na karatasi mchoro unakwenda gazetini kwa hatua za uchapaji
 
Drawing pad zipo nyingi mpaka za $35 .
Zipo standalone na unazounganisha na Photoshop kwenye pc
 
Technologist njooni mtoe majibu

nilivutiwa sana na uchoraji wake
Katika moja ya mafunzo kwa wasanii wa sanaa ya uchorahi Kipanya amewahi kusema anatumia programu za kidijitali kama Adobe Illustrator, Photoshop, na Procreate ili kuboresha ubunifu wake. Pia, anatumia tablets za kuchora kama "Wacom" au iPad Pro kwa uchoraji wa kidijitali....


Ila yote hayo ni kazi bure kama utakua huna ideas za kuchorea hizo katuni, so mwamba huwa anatumia muda mwingi sana kubuni mawazo..
 
Kabla ha hizo technologia Masoud uchoraji wake ulikuwa ni hvyo unavyoona,so ni bingwa wa kuchora kwanza.
Ndio lakin na vifaa anavyotumia vina mboost
Huyu awez wafikia wale wachoraji wa san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…