Masudi kipanya hatarini na ajira yake clouds

Huo ni uchochezi kwani hao wanaochorwa hawaoni??
 
Usisahau kuwa kipanya alishawahi kujitoa clouds na bado maisha yake yalienda kasi sana, yule jamaa yupo pale kwa kuwa clouds wanamuhitaji na si kwamba yeye ana hitaji saana ajira yao kiasi ambacho asisimamie anachokiamini kwa ajili ya furaha ya Ma boss wake!
 
Leteni huo ubuyu ukiwa wa motooooooo.......kwahiyo CEO wa shilawadu analiwa kiboga na harmonize au the CEO ndio anamla kiboga harmonize ?
 
Katuni za masoud hazina uhusiano na kipindi chochote kile clouds ...ni sawa sawa na ww uwe umeajiriwa taasisi flani afu at the same time unafuga kuku wa mayai. Cku ikatokea ukamdhulumu mtu kwenye biashara yako haina maana taasisi yako itakuwa matatani.. further more katuni za masoud huchorwa kwenye gazeti la mwananchi ambalo sina uhakika ila nahisi ni la serekali....
 
SB (Suddy Brown) kafanya nini tena huko downtown
 
Hizi kashfa za ushoga kwa baadhi ya wafanyakazi wa clouds inabidi zifanyiwe kazi...wao huwa hawazijibu kwa hiyo inabaki katikati
.
 
Huu uzi ubadilishwe jina naona lengo kuu sio kipanya
Jiwe la gizani
 
Acha kufananisha Kipanya na hizi kanjanja zingine,

Sasa hatarini kivipi ebu funguka,unamfahamu vizuri,

au ndo umetumwa na wale wa oya oya.
 
Dully aliwah semag kitu kama hiki way back kdgo.
Akasema sitaki kuongea na mashoga n wngese alivyopigiwa simu na SUUUUUDY

Hadi baadae walimganda Dully akaomba radhi.
 
Unajitahid kujitengenezea kiungulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…