Masudi kipanya hatarini na ajira yake clouds

Mwananchi ni gazeti la aga Khan
 
Kwani zile cartoons huwa zina nembo ya clouds media?
Ile ikitokea serikali kumshitaki Masudi atasimama yeye kama yeye kwa sababu haihusiani na mwajiri wake pale.
 
Kwani zile cartoons huwa zina nembo ya clouds media?
Ile ikitokea serikali kumshitaki Masudi atasimama yeye kama yeye kwa sababu haihusiani na mwajiri wake pale.
Litasimama gazeti (Editor) wala hata masoud hatahusika
 
Wamiliki wa gazeti la mtanzania ni wakenya serekali haina hata 0.1%
 
Mtanzania? Mwananchi? Au ni kitu kimoja?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Aise nilikuwa namaanisha mwananchk naona usingizi huu maana mda niliokoment ilikuwa bado kausiku usiku,,,mtanzania ni ya rostam chini ya new habari,,,,,,,mwananchi ndo wakenya bana
 
Aise nilikuwa namaanisha mwananchk naona usingizi huu maana mda niliokoment ilikuwa bado kausiku usiku,,,mtanzania ni ya rostam chini ya new habari,,,,,,,mwananchi ndo wakenya bana
Ahaaa sawa
 
Dah sasa hiyo heading na ulichoandika vyafanana??
 
Dully aliwah semag kitu kama hiki way back kdgo.
Akasema sitaki kuongea na mashoga n wngese alivyopigiwa simu na SUUUUUDY

Hadi baadae walimganda Dully akaomba radhi.
Mkuu ni akina nani hao? nimesikia tetesi za suddy kipanya na ayooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…