Nooooo sioMkuu ni akina nani hao? nimesikia tetesi za suddy kipanya na ayooooooooooooooo
Naskia pia et kipindi cha clouds 360Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/?
redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti ushoga wakakataa kuomba radhi,TCRA wakaufyata juzi eti kipindi kinafungiwa miezi kwa kumuhoji Gigy money aliyekuwa anaelezea jinsi anavyoliwa kiboksi manyoya.
Hapo sasa Mr kipanya hujui tu kwamba mabosi wako juu ya sheria? magic fm na radio 5 walifungiwa kwa kosa la mdomo wa mtu mmoja lakini hawa wanaopromote mashoga na tena wenye wafanyakazi mashoga kama wale waliotukanwa na wolper juzi kwamba mmoja wao alimtongoza harmonise akazwe kukataliwa akaanza kutukana.
Mr kipanya ,shauri zakoooooo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Pia inasemekana huko b dozen ndo alianza huo mchezo mchezo
Kipochi manyoyaKibox manyoya [emoji87]
Sante mkuu,yaani watu sijui wakoje bana,Yaani wanapenda uanfiki tuu,kunyenyekea mtu kusiko na maana.Aliyekuambia kuwa Masoud Kipanya ' akifukuzwa ' hapo Clouds Media Group atashindwa kuishi ni nani? IQ kubwa tu ya Masoud Kipanya tayari ni Mtaji wake tosha wa kujipatia maendeleo sasa Kazi kwenu mlio na Kipaji kimoja tu cha kukariri maisha ndiyo mnaopelekeshwa hovyo na mnabaki ' kunyenyekea ' tu kila kukicha.