Masudi kipanya hatarini na ajira yake clouds

Masudi kipanya hatarini na ajira yake clouds

Huyu jamaa hajui kama clouds ni pro sirikali anachora katuni za kichochezi??/?
redio ilishawahi kupigwa faini kwa ku promoti u shoga kwenye kipindi cha kina hando then zamaradi naye aka promoti ushoga wakakataa kuomba radhi,TCRA wakaufyata juzi eti kipindi kinafungiwa miezi kwa kumuhoji Gigy money aliyekuwa anaelezea jinsi anavyoliwa kiboksi manyoya.

Hapo sasa Mr kipanya hujui tu kwamba mabosi wako juu ya sheria? magic fm na radio 5 walifungiwa kwa kosa la mdomo wa mtu mmoja lakini hawa wanaopromote mashoga na tena wenye wafanyakazi mashoga kama wale waliotukanwa na wolper juzi kwamba mmoja wao alimtongoza harmonise akazwe kukataliwa akaanza kutukana.
Mr kipanya ,shauri zakoooooo
Naskia pia et kipindi cha clouds 360
 
E-Fm ipo inamsubiri.

Watangazaji wa Clouds hawana presha ya kuachishwa kazi sababu wanauhakika wakuajiriwa na Majizo.
 
Me nilijua tu wale watoto sio bure mwanaume hauwezi ukawa vile. Wale jamaa lazima tu watakuwa wanafumuliwa marinda. Tena inaonekana yule sudy ndio anamfumua mwenzie!
 
huyu kipanya yupo kama wachezaji mpira ulaya yaani kuhama timu hilo sio tatizo kwao
 
Kipanya ni miongoni mwa watu wachache wenye uwerevu wa Hali ya juu hawezi ishi njaa mjini
 
Aliyekuambia kuwa Masoud Kipanya ' akifukuzwa ' hapo Clouds Media Group atashindwa kuishi ni nani? IQ kubwa tu ya Masoud Kipanya tayari ni Mtaji wake tosha wa kujipatia maendeleo sasa Kazi kwenu mlio na Kipaji kimoja tu cha kukariri maisha ndiyo mnaopelekeshwa hovyo na mnabaki ' kunyenyekea ' tu kila kukicha.
Sante mkuu,yaani watu sijui wakoje bana,Yaani wanapenda uanfiki tuu,kunyenyekea mtu kusiko na maana.
Yaani me nikiona mtu anaandika upuuzi kama wa huyo jamaa apoa juu nachukia sana..
 
Back
Top Bottom