Masultani wa Zanzibar Ali Bin Hamud, na Khalifa bin Harub, walikuwa Waafrika

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Ali Bin Hamud

1657419488504.png

Khalifa Bin Haroub
1657419645677.png
 
Kuna watu weusi kama tako wapo Zanzibar na Sudan ukiwaambia ni waafrika wanaweza kukuloga. Kuna mchezaji yuko Azam anaitwa nani sijui ni mwafrika nweusi kama ngozi ya mbupu kuna siku nikasikia anasema yeye ni mwarabu ...hii ngozi sijui Mungu aliifanya nini
Aisee, kuna kitu hakipo sawa. Labda aulizwe akiwa muarabu so what? Utumwa wa kiakili ni mbaya sana.
 
Kuna watu weusi kama tako wapo Zanzibar na Sudan ukiwaambia ni waafrika wanaweza kukuloga. Kuna mchezaji yuko Azam anaitwa nani sijui ni mwafrika nweusi kama ngozi ya mbupu kuna siku nikasikia anasema yeye ni mwarabu ...hii ngozi sijui Mungu aliifanya nini
Kwani asili ya mtu ni rangi ya ngozi au nasaba ( origin) yake? Wewe umezungumzia Sudan basi huko Saudia ndio kuna watu weusi balaa. Hata mama Samia ni mwarabu!
 
Tatizo tumezoeshwa neno Sultan linaendana na cheo cha kibwanyenye, hivyo wengi wetu tunaona masultan lazima wawe ngozi nyeupe ya Uarabuni.

Hizi picha zilizoletwa hapa hata mimi nazishangaa, kumbe kuna ukaribu zaidi wa kibiolojia kati ya wazanzibar na raia wa Oman zaidi ya nilivyodhani.

No wonder Samia anahangaika kwa kila njia kumfurahisha mjomba kule Ngorongoro, anajua akichelewa anaweza kuulizwa kulikoni kwenye kikao cha familia.
 
Kwani nani amewaambia kwamba mwarabu lazima awe na ngozi nyeupe? Hiyo ni inferiority complex yenu tu.

Ali bin Hamoud nimesoma sehemu mama yake alikuwa ni Mganda na hata Waganda wanajisifu wamewahi kutawala Zanzibar. Ama kwa Seyyid Khalifa yeye alikuwa ni MuOman na amepata utawala kwa kupitia mke wake Bi Matuka.
 
..una maana Khalifa alikuwa mbantu ila akaoa ktk nyumba ya Sultani?
 
Kuna watu weusi kama tako wapo Zanzibar na Sudan ukiwaambia ni waafrika wanaweza kukuloga. Kuna mchezaji yuko Azam anaitwa nani sijui ni mwafrika nweusi kama ngozi ya mbupu kuna siku nikasikia anasema yeye ni mwarabu ...hii ngozi sijui Mungu aliifanya nini
Uko sahihi nimewahi ishi zanzibar kuna kidemu kinasema bibi yake mwarabu na kinajiita kiarabu ila ana kipilipili kuliko changu,na pua bapa ,maji ya kunde
 
Kuna watu weusi kama tako wapo Zanzibar na Sudan ukiwaambia ni waafrika wanaweza kukuloga. Kuna mchezaji yuko Azam anaitwa nani sijui ni mwafrika nweusi kama ngozi ya mbupu kuna siku nikasikia anasema yeye ni mwarabu ...hii ngozi sijui Mungu aliifanya nini
Labda utuelezee nini maana ya mwafrika ? Ni mwarabu maana msudani anazungumza kiarabu. Sidhani kama aliposema yeye ni mwarabu alikusudia hivyo unavyotaka kwamba yeye sio black ni white (lengo la rangi ya ngozi).

Labda umuulize more precise are you considering yourself black or white ?
 
Back
Top Bottom