Masultani wa Zanzibar Ali Bin Hamud, na Khalifa bin Harub, walikuwa Waafrika

Kwani nani amewaambia kwamba mwarabu lazima awe na ngozi nyeupe? Hiyo ni inferiority complex yenu tu.

Ali bin Hamoud nimesoma sehemu mama yake alikuwa ni Mganda na hata Waganda wanajisifu wamewahi kutawala Zanzibar. Ama kwa Seyyid Khalifa yeye alikuwa ni MuOman na amepata utawala kwa kupitia mke wake Bi Matuka.
Sayyid Khalifa alikuwa ni nani?
 
Hii dhana ya kuandika maneno ya kiingereza katika ya sentensi za kiswahili kwamba ndio "usomi" itawatafuna Enyi wadanganyika
 
Back
Top Bottom