Masultani walipatapo kuua raia, kuweka jela za mateso na dhuluma nyinginezo?

Sheikh Mohamed Said Naomba ugeuze Kichwa cha Mada Yako Kiwe " Chama Kipi kati ya ASP & ZNP (HIZBU) Kisafi , Cha Kizalendo hakina Damu ya Wazanzibari"

maana siku hizi kumekua na watu kutiwa maneno utasikia "hizbu huyo" ..basi ianonekana kama hicho chama ni hatari sana . Hivyo mada hio itaweka sawa historia na vijana waelewe nani asp na nani hizbu .
 
Macos,
Ahsante sana kwa hii fikra ulokujanayo.
Tafadhali fungua uzi mwingine kwa anuani hiyo tuchangie.

Hakika tuna wajib wa kuwaeleimisha vijana wetu waijue
historia ya kweli ya Zanzibar.
 
Back
Top Bottom