I introduce to you Sultan Jecha from Zanzibar.Akiona mambo sio tu anafutaaaaaaa
Sema yeye ni sultan from mabiboApite tu aone masultani[emoji12]
Macos,Sheikh Mohamed Said Naomba ugeuze Kichwa cha Mada Yako Kiwe " Chama Kipi kati ya ASP & ZNP (HIZBU) Kisafi , Cha Kizalendo hakina Damu ya Wazanzibari"
maana siku hizi kumekua na watu kutiwa maneno utasikia "hizbu huyo" ..basi ianonekana kama hicho chama ni hatari sana . Hivyo mada hio itaweka sawa historia na vijana waelewe nani asp na nani hizbu .