Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

yoelisahe

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
72
Reaction score
21
i.ning.com/ files /swLlbX5ug5YOpRfuqW1G*Xt-BqOM2-y30K4iqT1RUrns6slH-gPrqCHFr3ta17-pzv9vWSv3xJg-SWQOB2evoUdDkddVbous/PENNY.jpg[/IMG]









mnaweza kuongezea niliowasahau na kupunguza walioingia kimakosa.
 


Hii picha kuna moja nnayo hajavaa bukta !

Nikipata mda uliyeanzisha thread ntakutumia !
 
Huyo uwoya anani wasasa pamoja na kujibinua bado mgongo tu umetokea hapo kajala kweli anaushepu.
 
Jamanii Mange nae ana shepu kumbeee hahhhhhahhha Matola naomba aje amuoneee
 
Last edited by a moderator:
Sasa si ungweka majina na shughuli zao kwakuwa sisi wengine wageni kidogo hatujuia hapo nani ni nani.
 


Hii ndo shape, huo mwingine muonekano tuu


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Mbona lady jay dee hayupo...huu sasa ni upendeleo aiseee
 
Kweli uzuri upo kwa anayeangalia.Sasa huyo aliyevaa orange(suti ya kaptula) viatu rangi ya kijani mpauko naye kakimbiza.Hahahahaha au hilo wigi,ila uzuri upo kwa anayeangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…