Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

Huyu ndio yule ambaye muheshimiwa tuliambiwa alikula mzigo bila ridhaa yake?<br>Kweli genye zikizidi inakuwa ni balaa aisee!<br><br>"Nlikuwepo":bolt:
 
Jamanii Mange nae ana shepu kumbeee hahhhhhahhha Matola naomba aje amuoneee

Hahahahahahaha uchokozi huo sasa...wamemuweka hapo wa nini kama si kututafuta machimboni tulikojificha
Shouger sijakujibu naumwa siko vizuri hata hapa niko mguu mmoja huku mwingine nasikilizia maumivu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha uchokozi huo sasa...wamemuweka hapo wa nini kama si kututafuta machimboni tulikojificha
Shouger sijakujibu naumwa siko vizuri hata hapa niko mguu mmoja huku mwingine nasikilizia maumivu

Yaan balaa hilii poleee kwa kuumwaaa aisee karibu MMU
 
Sasa Mange anashepu gani, hapo wema, kajala, masogange na shilole wengine hakuna kitu jackie nampenda kwa kuwa anajua kuvaa hatuoni fashion tena wala nofakezone
 
hahahahahahhahaa, eti 6 pack. umenchekeshaje????? igunga kijijini ndo kwao, kabla ya kutoka alikua analima mpunga kijijini kwao Igunga ndo mana unaona 6 pack...........:smile-big:
:croc:
 
Bila kumsahau mbuta nanga
FLORA+AT+TID+SHOW+IN+LONDON+2013+071.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+080.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+082.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+059.JPG

FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+063.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+080.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+079.JPG
FLORA+AT+TID+SHOW+IN+LONDON+2013+075.JPG
FLORA+AT+TID+SHOW+IN+LONDON+2013+095.JPG

Designer wa huyu dada ni nani naona amekosewa kuvalishwa
 
duh... the upper part is extremely larger than the lower part of her body.... i.e miguu iko too tiny... kama sim tank kwenye yale machuma..
and she is like, am allergic to long skirts and gowns.. daah

Heee huyu no mtu au sanamu
 
Back
Top Bottom