Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

Masuper staa wanaokimbiza kwa shepu nzuri

Wanaonishawishi nimchukie/nimponde wema wakome!shape yake itanitoa roho wallah!hao wengine ni walemavu wa makalio tu!
 
Nimerogwa nahisi ! Lakini hiyo ndio hali! Nipe muda labda nitaroguka!
 
duh... the upper part is extremely larger than the lower part of her body.... i.e miguu iko too tiny... kama sim tank kwenye yale machuma..
and she is like, am allergic to long skirts and gowns.. daah

Hahahahahaha..
 
Aisee kweli wote wamejaaliwa hapo.. Wanao ponda wivu umewajaaa tu hawana lolote hakuna.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mmmh! Na huyo chini ya Shilole/ Juu ya uwoya? Nae yumo pia?

Nauliza tuu.
 
beauty is in the eye of beerholder!kuna wengine vituko tu!
 
Bila kumsahau mbuta nanga
FLORA+AT+TID+SHOW+IN+LONDON+2013+071.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+080.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+082.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+059.JPG

FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+063.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+080.JPG
FLORA+LYIMO+AFRICAN+PRINT+NGUO+NA+MABEGI+SHOW+20.6.203+079.JPG
FLORA+AT+TID+SHOW+IN+LONDON+2013+075.JPG
FLORA+AT+TID+SHOW+IN+LONDON+2013+095.JPG

The world is full of surprises!!
 
Mange nae anakimbiza kwa shepu?...
Alafu huyo mdada mwenye kitenge duuuuuh ndo flora mchaga?hyo miguu jmn si aifiche lohhh
 
Jamani kuna watoto wazuri wana shepu hawa mamluki sijaona kitu hapo.
 
Ila kiukweli uwa simuelewagi huyu mbuta Nanga ! Picha zake ni za ajabu na aibu sana kwanza ni shapeless pili hana mvuto kabisa kuna mipicha alipiga anatangaza chupi zake yani ni aibu kalio hana hips hana yani khaaa ni kichefuchefu! Hivi huyu dada ana ndugu kweli? Hana washauri?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom