Ma'Super Star wa Kibongo Hawana baba?

Ma'Super Star wa Kibongo Hawana baba?

Mr bean, mi ckubaliani na mada yako, mi naona we umeleta hii mada hapa kwa kuwalenga watu fulani tu kwa sababu unazozijua we mwenyewe,
Ivi we unajua bongo ina masupa staa wangapi?
 
Mr bean, mi ckubaliani na mada yako, mi naona we umeleta hii mada hapa kwa kuwalenga watu fulani tu kwa sababu unazozijua we mwenyewe,
Ivi we unajua bongo ina masupa staa wangapi?
Hapana kaka. Ni mtazamo tu wala sina niliowalenga bali ukifuatalia utatambua kuwa kuna ukweli. Niliowataja nimetolea mfano tu. Wapo wengi mno ambao hawapendi babazao kujulikana.
 
Wadau hii imenishangaza kitambo sasa juu ya hawa masupasta wetu. Mara zote utasikia wanazungumzia wazazi wao wa kike tu na si wazazi wa kiume. Mfano utasikia Mama Lulu kasema hivi. Mara mama Kanumba vile.?Mara mamaRay anoekana kariokoo. Mara Mama kiba aja juu. Nk nk Sijawahi kusia Wazazi wa kiume wa hao mastaa wakiwataja watoto wao au hao mastaa wakiwataja babazao kama wanavyowataja mamazao.Kulikoni?.

Hao wengi watoto wa nje ya ndoa...ndio maana hata mama zao wenyewe mcharuko
 
HATA KAMA MWANANGU akawa superstar wa dunia, staki anitaje popote kwamba mimi ni BABA YAKE kama anafanya yafuatayo
1.kuvaa milegezo(kuonesha chupi ya bei rahis na kuishusha hadhi jeans ya bei kubwa
2.kusuka,kutinda nyus na mitindo ya ajabu ya kunyoa na kusuka
3.KUVAA HELENI(hahahahahahaha)
4. ushoga
5.uasherati(kila cku katoka na mwingne.)
6.lugha za matusi(kujifanya mmarekan
7.kuvua nguo majukwaani
8.kuuza,kutumia,kusafirisha madawa ya KULEVYA
.....(nk)
MTOTO MWEREVU na mwenye hekima ni SIFA KWA BABA YAKE, lakin mtoto MJINGA NI MZGO KWA MAMA YAKE...kwa hiyo litoto linapotenda mambo ya kijinga utakuta linamtaja sana mama...

eti mtoto suruali ipo chini ya makali na helen sikioni,nywele kaztia dawa, kajichubua then anaperform jukwaan au yupo mbwele ya media NA aseme....""namshukuru sana baba yangu NUHWAHI, aaahmm you know yeye ndo everything, ndo kanifikisha hapa nilipo...so thanks to ma' dad...!""
NIKIMSIKIA hayo kesho asubuh nipo mlango kwake na ataona kitakachomkuta...
 
kuwa baba sio mchezo we unafikiri kulea familia mchezo? Tujipongeze wababa
 
KIJANA MWENYE HEKIMA NI SIFA KWA BABA YAKE...lakini kijana mpumbavu ni mzgo kwa mama yake..! JIULIZE, Je hao mama zao wanatajwa kwa yenye HEKIMA, BUSARA au ya kijinga na kpumbav?..
..mkuu hapo umenena mkuu....kutajwa sio inshu inshu ni kutajwa kivip
 
Siku moja Mtume aliulizwa na Maswahaba zake. Ewe mjumbe wa Allah ni nani ana haki zaidi juu ya mwenzake(kufanyiwa ihsani)?Mtume akajibu MAMA yako,akaulizwa tena kisha nani?akajibu MAMA ako,akaulizwa tena kisha nani akajibu tena MAMA yako,akaulizwa tena kisha nani?akajibu BABA yako!

Kutokana na hadithi hiyo fupi utaona wazi ni kwa jinsi gani Mama ana cheo hata kwa Mungu,hivyo ni automatically kumpa Mama kipaumbele katika majambo mengi kuliko Baba,hii ni sheria ya kimaumbile...na ndo maana mara nyingi Mtu anapoondokewa na Mama ake mzazi(anapofariki)huwa na huzuni saaana kuliko anapoondokewa na Baba ake.Hii ni kutokana na Mahaba ya asili yaliyopandikizwa na Mungu kwa mtoto juu ya MAMA ake!
Yaani MAMA ni sawa na vipaumbele vya lowassa,namely:
1-ELIMU
2-ELIMU
3-ELIMU
 
Kimahesabu titasema mama anachukua asilimia 75 katika moyo wa mtoto na baba 25 tuu, very amazing truth!!
 
Mbona Dully Syksi alikuwa anamkubali sana Mzee wake
 
Ninawakumbusha wanaume wenzangu kuwa uanaume wetu hauishii tu kwenye kuwapa mimba wanawake la hasha....bali kwenye kutunza na kulea kiumbe kitakachozliwa na hapo ndipo unapojengeka uhusiano wa nguvu baina ya wazazi na mtoto ambao unamfanya mtoto aone haya kuwanyanyasa wazazi wake......kama kuzaa hata nguruwe anazaaa lakini anawala wanae akiwa na njaa kali....
 
km mtoto msanii unategemea mama atakuwaje? mimba yenyewe ilitungwa guest,
 
Baba mdogo aliwahi kuniambia "wanaume hatuna watoto, watoto ni wa mama angalia hata vifaranga wa kuku hukuti wakiambatana na jogoo."
Hii kali.... kwa hiyo sisi kazi yetu ni kuwika tu
 
Baadhi wababa waliingia mitini....hivyo inabidi waisome tu namba kimya kimya
BT, na mie wazo langu lilikuwa hilo hilo, pata picha ulimtelekeza mama wa watu, akahangaika na mtoto ghafla mtoto nyota imemuangukia, unaanzaje anzaje kurudisha mahaba?!
 
Wengi wao wamezaliwa nje ya ndoa, kama ujuavyo watoto wanaozaliwa nje ya ndoa huwa ni wa ujombani (Mama).
 
Wenye baba na mama zao sio masuperstaa. Akina baba wengi hawapendi watoto wao wafanye mambo ya kihuni ili waitwe mastaa. Wanaenda shule kuwa mainjinia na madaktari.
 
Back
Top Bottom