Maswa: Baba jela miaka 30 kwa kuzini mwanaye wa miaka 14 na kumpa mimba

Mwanantogakulya

Senior Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
157
Reaction score
155
Maswa:MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu,Daud Mabele(38)mkazi wa kijiji cha Kakola-Shishiyu kwenda jela miaka 30 na kumlipa fidia ya Sh 200,000 mhanga baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na binti yake wa kumzaa(jina limehifadhiwa) mwenye miaka 14 na kumpatia ujauzito.

Hukumu hiyo imetolewa leo Aprili 24,2025 katika Mahakama ya wilaya ya Maswa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo,Aziz Khamis baada kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.

Kosa aliloshtakiwa nalo ni kuzini na maharimu(Mwanamme kujamiana na ndugu yake wa damu)kinyume na kifungu cha 158(1)cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyo fanyiwa marejeo mwaka 2022 .

Katika kesi hiyo ya jinai yenye namba 6929/2025 upande wa mashtaka ulileta mashahidi watano akiwemo mhanga mwenyewe pamoja na kielelezo ili kuthibitisha mshtakiwa kutenda kosa hilo.

Mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwani ni mkosaji wa mara ya kwanza na ana familia inayo mtegemea.

Awali mahakamani hapo ilidaiwa na Mwendesha Mashtaka kutoka ofisi ya Taifa ya Mashtaka wilaya ya Maswa,Mkaguzi msaidizi wa polisi,Vedastus Wajanga kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo tarehe isiyofahamika mwezi Septemba,2024 majira ya usiku.

Amesema kuwa mshtakiwa huyo alifanya kitendo hicho nyumbani kwake baada ya mama wa mhanga ambaye ni mke wake kwenda nyumbani kujifungua.

Baada ya kutiwa hatiani upande wa mashtaka uliomba mshtakiwa apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwake na onyo kwa wengine wenye nia au lengo la kufanya kitendo alichokifanya mshtakiwa.

1000324154.jpg
 
No reform no election😀😀
 
Huku simiyu na arusha kuna matukio ya ajabu sana...
 
Dah moyo wangu umetulia huenda jamaa NI kobaaz kwasababu jina la Daud ni la kikobaaz. Yani inaleta faraja angalau kwasababu wagalatia hivi Karibuni haya matukio yalikuwa yanatuangukia Sisi Sana. Angalau upande wa pili umeanza tena kama kawaida.

hydroxo Adiosamigo gallow bird Tanganian Mufti kuku The Infinity

Nyau de adriz
 
Wanaume Wasukuma wanaongoza kwa ukatiri wa kijinsia kwa watoto wao. Najua mtajificha kwa hoja ya ukabila ila sijakurupuka kuandika hivi.
Kumbe ni kwa wasukuma tu ndiyo matukio haya hutokea, maana yake kwa wasukuma ni sawa baba kulala na binti yake?

We mpumbavu sana mkuu, I had a due respect to you but this is too much to bear!

Fikiria Haya mambo yalishatokea huko Lindi, Tanga, Mtwara n. k lakini umeona wasukuma pekee tena kwa tukio la aibu la mtu mmoja?
Epuka "INDUCTIVE REASONING" Kwenye mambo mengine.

Kama jamii tunapaswa kukemea na kulaani mambo yoyote yaliyo kinyume na jamii zetu bila kujali ukabila.
 
Hata kama wewe ni Msukuma, bear it in your mind kwamba wababa wa Kisukuma wanafanya sana child molesting na sexual assault kwa watoto wao.

Ukianza ubishi tufanye comparison, nakutajia cases zote za ukatiri wa watoto uliofanywa na baba zao uone watuhumiwa wengi ni kina nani kama sio hao ndugu zako.

Nilikuwa na mpenzi Msukuma nilishangaa kunieleza yeye na dada yake walibakwa na baba yao kwa nyakati tofauti na wakakimbia nyumbani, shule aliacha kidato cha tatu. Baba yake mtu mkubwa kwa level za kijijini na ana cheo cha kisiasa, na shangazi sijui wajomba wanajua ila wanachukulia kulinda aibu ya familia. Nilivyofuatilia nikagundua hizo cases zipo nyingi sana uko.

Huu sio ukabila, hizi ni findings. Tuanzie humu JF kesi za baba kubaka mtoto nyingi ziko wapi uone.
 
Mauwaji ya albino wanaongoza, mauaji ya vikongwe wanaongoza, wababa kubaka watoto wao wanaongoza.

Yet hawataki kukabiliana na ukweli mchungu kupambana na uncivilization kwenye jamii, wanajificha nyuma ya kichaka cha ukabila.
Ni watu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom