Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
No reform no election😀😀Maswa:MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu,Daud Mabele(38)mkazi wa kijiji cha Kakola-Shishiyu kwenda jela miaka 30 na kumlipa fidia ya Sh 200,000 mhanga baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na binti yake wa kumzaa(jina limehifadhiwa) mwenye miaka 14 na kumpatia ujauzito.
Hukumu hiyo imetolewa leo Aprili 24,2025 katika Mahakama ya wilaya ya Maswa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo,Aziz Khamis baada kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.
Kosa aliloshtakiwa nalo ni kuzini na maharimu(Mwanamme kujamiana na ndugu yake wa damu)kinyume na kifungu cha 158(1)cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyo fanyiwa marejeo mwaka 2022 .
Katika kesi hiyo ya jinai yenye namba 6929/2025 upande wa mashtaka ulileta mashahidi watano akiwemo mhanga mwenyewe pamoja na kielelezo ili kuthibitisha mshtakiwa kutenda kosa hilo.
Mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwani ni mkosaji wa mara ya kwanza na ana familia inayo mtegemea.
Awali mahakamani hapo ilidaiwa na Mwendesha Mashtaka kutoka ofisi ya Taifa ya Mashtaka wilaya ya Maswa,Mkaguzi msaidizi wa polisi,Vedastus Wajanga kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo tarehe isiyofahamika mwezi Septemba,2024 majira ya usiku.
Amesema kuwa mshtakiwa huyo alifanya kitendo hicho nyumbani kwake baada ya mama wa mhanga ambaye ni mke wake kwenda nyumbani kujifungua.
Baada ya kutiwa hatiani upande wa mashtaka uliomba mshtakiwa apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwake na onyo kwa wengine wenye nia au lengo la kufanya kitendo alichokifanya mshtakiwa.
Ukimwi hauwezi kuisha kama kuna wapumbavu kama hawa.Unandekeza nyege mpaka kwa mtoto wako,hayo ndiyo matokeo yake.
Wasukuma nawanyoshea mikono.Wanaume Wasukuma wanaongoza kwa ukatiri wa kijinsia kwa watoto wao. Najua mtajificha kwa hoja ya ukabila ila sijakurupuka kuandika hivi.
Huku simiyu na arusha kuna matukio ya ajabu sana...Maswa:MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu,Daud Mabele(38)mkazi wa kijiji cha Kakola-Shishiyu kwenda jela miaka 30 na kumlipa fidia ya Sh 200,000 mhanga baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na binti yake wa kumzaa(jina limehifadhiwa) mwenye miaka 14 na kumpatia ujauzito.
Hukumu hiyo imetolewa leo Aprili 24,2025 katika Mahakama ya wilaya ya Maswa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo,Aziz Khamis baada kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.
Kosa aliloshtakiwa nalo ni kuzini na maharimu(Mwanamme kujamiana na ndugu yake wa damu)kinyume na kifungu cha 158(1)cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyo fanyiwa marejeo mwaka 2022 .
Katika kesi hiyo ya jinai yenye namba 6929/2025 upande wa mashtaka ulileta mashahidi watano akiwemo mhanga mwenyewe pamoja na kielelezo ili kuthibitisha mshtakiwa kutenda kosa hilo.
Mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwani ni mkosaji wa mara ya kwanza na ana familia inayo mtegemea.
Awali mahakamani hapo ilidaiwa na Mwendesha Mashtaka kutoka ofisi ya Taifa ya Mashtaka wilaya ya Maswa,Mkaguzi msaidizi wa polisi,Vedastus Wajanga kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo tarehe isiyofahamika mwezi Septemba,2024 majira ya usiku.
Amesema kuwa mshtakiwa huyo alifanya kitendo hicho nyumbani kwake baada ya mama wa mhanga ambaye ni mke wake kwenda nyumbani kujifungua.
Baada ya kutiwa hatiani upande wa mashtaka uliomba mshtakiwa apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwake na onyo kwa wengine wenye nia au lengo la kufanya kitendo alichokifanya mshtakiwa.
Dah moyo wangu umetulia huenda jamaa NI kobaaz kwasababu jina la Daud ni la kikobaaz. Yani inaleta faraja angalau kwasababu wagalatia hivi Karibuni haya matukio yalikuwa yanatuangukia Sisi Sana. Angalau upande wa pili umeanza tena kama kawaida.Maswa:MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu,Daud Mabele(38)mkazi wa kijiji cha Kakola-Shishiyu kwenda jela miaka 30 na kumlipa fidia ya Sh 200,000 mhanga baada ya kupatikana na hatia ya kuzini na binti yake wa kumzaa(jina limehifadhiwa) mwenye miaka 14 na kumpatia ujauzito.
Hukumu hiyo imetolewa leo Aprili 24,2025 katika Mahakama ya wilaya ya Maswa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo,Aziz Khamis baada kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.
Kosa aliloshtakiwa nalo ni kuzini na maharimu(Mwanamme kujamiana na ndugu yake wa damu)kinyume na kifungu cha 158(1)cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyo fanyiwa marejeo mwaka 2022 .
Katika kesi hiyo ya jinai yenye namba 6929/2025 upande wa mashtaka ulileta mashahidi watano akiwemo mhanga mwenyewe pamoja na kielelezo ili kuthibitisha mshtakiwa kutenda kosa hilo.
Mshtakiwa aliomba mahakama impunguzie adhabu kwani ni mkosaji wa mara ya kwanza na ana familia inayo mtegemea.
Awali mahakamani hapo ilidaiwa na Mwendesha Mashtaka kutoka ofisi ya Taifa ya Mashtaka wilaya ya Maswa,Mkaguzi msaidizi wa polisi,Vedastus Wajanga kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo tarehe isiyofahamika mwezi Septemba,2024 majira ya usiku.
Amesema kuwa mshtakiwa huyo alifanya kitendo hicho nyumbani kwake baada ya mama wa mhanga ambaye ni mke wake kwenda nyumbani kujifungua.
Baada ya kutiwa hatiani upande wa mashtaka uliomba mshtakiwa apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwake na onyo kwa wengine wenye nia au lengo la kufanya kitendo alichokifanya mshtakiwa.
Kumbe ni kwa wasukuma tu ndiyo matukio haya hutokea, maana yake kwa wasukuma ni sawa baba kulala na binti yake?Wanaume Wasukuma wanaongoza kwa ukatiri wa kijinsia kwa watoto wao. Najua mtajificha kwa hoja ya ukabila ila sijakurupuka kuandika hivi.
🤣🤣🤣Dah moyo wangu umetulia huenda jamaa NI kobaaz kwasababu jina la Daud ni la kikobaaz. Yani inaleta faraja angalau kwasababu wagalatia hivi Karibuni haya matukio yalikuwa yanatuangukia Sisi Sana. Angalau upande wa pili umeanza tena kama kawaida.
hydroxo Adiosamigo gallow bird Tanganian Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz
Hata kama wewe ni Msukuma, bear it in your mind kwamba wababa wa Kisukuma wanafanya sana child molesting na sexual assault kwa watoto wao.Kumbe ni kwa wasukuma tu ndiyo matukio haya hutokea, maana yake kwa wasukuma ni sawa baba kulala na binti yake?
We mpumbavu sana mkuu, I had a due respect to you but this is too much to bear!
Fikiria Haya mambo yalishatokea huko Lindi, Tanga, Mtwara n. k lakini umeona wasukuma pekee tena kwa tukio la aibu la mtu mmoja?
Epuka "INDUCTIVE REASONING" Kwenye mambo mengine.
Kama jamii tunapaswa kukemea na kulaani mambo yoyote yaliyo kinyume na jamii zetu bila kujali ukabila.
Mauwaji ya albino wanaongoza, mauaji ya vikongwe wanaongoza, wababa kubaka watoto wao wanaongoza.Wasukuma nawanyoshea mikono.
Sio wote lakini Wanaongoza kwa ukatiri.
Ni watu wa ajabu sanaMauwaji ya albino wanaongoza, mauaji ya vikongwe wanaongoza, wababa kubaka watoto wao wanaongoza.
Yet hawataki kukabiliana na ukweli mchungu kupambana na uncivilization kwenye jamii, wanajificha nyuma ya kichaka cha ukabila.