Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Huwa sipendi kujadili Ukabila lakini linapokuja swala la Msukuma hata kama ni Prof mambo yao ni yale yale.Huu sio ukabila, hizi ni findings. Tuanzie humu JF kesi za baba kubaka mtoto nyingi ziko wapi uone.
Huyo ni ndugu yako katika kulibusu sanamu la bikira Maria.Dah moyo wangu umetulia huenda jamaa NI kobaaz kwasababu jina la Daud ni la kikobaaz. Yani inaleta faraja angalau kwasababu wagalatia hivi Karibuni haya matukio yalikuwa yanatuangukia Sisi Sana. Angalau upande wa pili umeanza tena kama kawaida.
hydroxo Adiosamigo gallow bird Tanganian Mufti kuku The Infinity
Nyau de adriz
Those useless findings unazofanyia kwa mahawala wako hao mabaamedi ndiyo walikueleza upuuzi huo?Hata kama wewe ni Msukuma, bear it in your mind kwamba wababa wa Kisukuma wanafanya sana child molesting na sexual assault kwa watoto wao.
Ukianza ubishi tufanye comparison, nakutajia cases zote za ukatiri wa watoto uliofanywa na baba zao uone watuhumiwa wengi ni kina nani kama sio hao ndugu zako.
Nilikuwa na mpenzi Msukuma nilishangaa kunieleza yeye na dada yake walibakwa na baba yao kwa nyakati tofauti na wakakimbia nyumbani, shule aliacha kidato cha tatu. Baba yake mtu mkubwa kwa level za kijijini na ana cheo cha kisiasa, na shangazi sijui wajomba wanajua ila wanachukulia kulinda aibu ya familia. Nilivyofuatilia nikagundua hizo cases zipo nyingi sana uko.
Huu sio ukabila, hizi ni findings. Tuanzie humu JF kesi za baba kubaka mtoto nyingi ziko wapi uone.
Tutakusanua hapa utakimbia mwenyeweWasukuma ni moja ya jamii ya wahafidhina ( conservatives) inayolinda maadili yake kwa namna yoyote ile. Ni wapumbavu wachache sana wanatenda matukio ya aibu kama hayo.
Kuna rafiki yangu msukuma alishakufaga, .......alizaa na mdogo wa mke wake....watani zangu mnapenda sana nyuchi punguzeniThose useless findings unazofanyia kwa mahawala wako hao mabaamedi ndiyo walikueleza upuuzi huo?
Wasukuma ni moja ya jamii ya wahafidhina ( conservatives) inayolinda maadili yake kwa namna yoyote ile. Ni wapumbavu wachache sana wanatenda matukio ya aibu kama hayo.
Nimesikitika sana kwa upotoshaji wako usio na misingi ya kitafiti bali ni suppositions zako binafsi.
I hate judging entire population basing on individual parameters and behaviours.
Jenga tafsri ya kijamii na siyo kikanda wala kikabila.
Kabila la wasukuma lina idadi ya watu inayokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 6, je, watu hamsini wapotofu wafaa kutumika kama wawakilishi sahihi wa tabia za wasukuma wote?
Unisanue nini mkuu?Tutakusanua hapa utakimbia mwenyewe
Hahaha!Kuna rafiki yangu msukuma alishakufaga, .......alizaa na mdogo wa mke wake....watani zangu mnapenda sana nyuchi punguzeni
Huyu mchawii inawezekana vipi ukadinda kwa binti yako wacha anyee debe sasaKama Sio Kichaa Ni Imani Za Kishirikina ,No way mashine Yangu Ikasimama Kwa Mtoto Wangu..
I told you she was my girlfriend, sio hawala wala barmaid. Na hata hivyo mtu hatakiwi kufanyiwa ukatiri wa kijinsia kisa ni barmaid au hawala.Those useless findings unazofanyia kwa mahawala wako hao mabaamedi ndiyo walikueleza upuuzi huo?
Wapumbavu hao ni asilimia kubwa katika jamii za Kisukuma kuliko jamii nyinginezo. Child molesting kwa Wagogo au Wajaluo ni kesi chache mno, ila kwenu nyinyi ni nyingi sana.Wasukuma ni moja ya jamii ya wahafidhina ( conservatives) inayolinda maadili yake kwa namna yoyote ile. Ni wapumbavu wachache sana wanatenda matukio ya aibu kama hayo.
Unataka tutumie nguvu nyingi kupambana na mauji ya albino Mtwara kwa Wamakonde, wakati mauaji mengi yanafanyika Simiyu kwa Wasukuma?Nimesikitika sana kwa upotoshaji wako usio na misingi ya kitafiti bali ni suppositions zako binafsi.
I hate judging entire population basing on individual parameters and behaviours.
Jenga tafsri ya kijamii na siyo kikanda wala kikabila.
Narudia kusisitiza, jamii za Kisukuma hazitilii mkazo kumlinda mtoto wa kike asinyanyasike kingono. Pia zinatukuza unyama wa wanaume hivyo hata mtoto akibakwa basi inaonekana yaishe.Kabila la wasukuma lina idadi ya watu inayokadiriwa kuwa zaidi ya milioni 6, je, watu hamsini wapotofu wafaa kutumika kama wawakilishi sahihi wa tabia za wasukuma wote?