Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Cha kushangaza ndio jimbo linaloongoza kwa kutoa Wabunge wa Chadema
Lilitoa kabla ya usaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kushangaza ndio jimbo linaloongoza kwa kutoa Wabunge wa Chadema
Kawaulize swali hilo mabwana zako huko lumumba, mbowe ataendelea kuongoza chadema utake usitake. Wewe na mabwana zako kama hupendezwi na uwepo wa mbowe kufa.Utofauti wa chadema ya mbowe na CCM ni Nini?.
Ccm imefuga mapumbavu kwenye makorido ya lumumbaNa wewe ni mamluki wa mbowe achana na maisha ya uchawa mtoto wa kiume
Naona Bi mkubwa wa mbowe unamtetea bwana yako?Kawaulize swali hilo mabwana zako huko lumumba, mbowe ataendelea kuongoza chadema utake usitake. Wewe na mabwana zako kama hupendezwi na uwepo wa mbowe kufa.
ANC chama mama la SA kiliongozwa na Oliver Tambo kwa zaidi ya 30yrs na kikaja kutawala SAHakuna chama kikicho hai kikaongozwa na mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 15... Watu wafuu tu ndio hukubali upuuzi huo.
Ndiyo maana ni chama cha hovyo kilichojaa wala rushwa na mbumbumbu kama Mbeki na Zuma. Chama kinachochakaza nchi nzuri.ANC chama mama la SA kiliongozwa na Oliver Tambo kwa zaidi ya 30yrs na kikaja kutawala SA
Mtu Si kiroba aokotwe!!Wenye jezi ya chadema ni wawili tu, hao wengine watakuwa wameokotwa stendi
Wewe ni mpumbavu.... Unaongelea Zama za ujima Dunia ipo gizani!!, Nyie wake za Mbowe ni wapumbavu hamjitambui. Zama zenye wasomi wengi mtu bado unaamini kwenye uongozi wa mtu mmoja tena ambaye ni dalali wa siasa?. Bata Wewe!!ANC chama mama la SA kiliongozwa na Oliver Tambo kwa zaidi ya 30yrs na kikaja kutawala SA
Tanguliza S kwenye jina lako.Tawi la CCM chini ya Mbowe!.
Mbowe anapaswa astafu.
Wewe ni mke mkubwa au mdogo wa mbowe.Tanguliza S kwenye jina lako.
Tuloolewa siku moja na wewe!Wewe ni mke mkubwa au mdogo wa mbowe.
Pumbavu hujui hata kuandika....mnaleta haba kwenye Mambo ya chama... Mbowe ni kiazi apisheTuloolewa siku moja na wewe!
Relax mkuu, nitajie mafanikio ya ccm kwa nchi yangu, maana wale maadui bado wapo, umasikini, ujinga na maradhi na sasa rushwa, why Singida kuna umasikini mkubwa sanaWewe ni mpumbavu.... Unaongelea Zama za ujima Dunia ipo gizani!!, Nyie wake za Mbowe ni wapumbavu hamjitambui. Zama zenye wasomi wengi mtu bado unaamini kwenye uongozi wa mtu mmoja tena ambaye ni dalali wa siasa?. Bata Wewe!!
Acha kunichanganyia madesa, Kuna mahali nimeiongelea CCM mm kwamba imeleta maendeleo? Au mafanikio?, Au hujui nini nimekiandika?.Relax mkuu, nitajie mafanikio ya ccm kwa nchi yangu, maana wale maadui bado wapo, umasikini, ujinga na maradhi na sasa rushwa, why Singida kuna umasikini mkubwa sana