Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Saa 2:50 ASUBUHI
JUMAPILI HIYO bado umelala yaaani umepitiwa fofofo😴
Gafla unashtuka usingizin😳😳 mamaaaaa ni saa 2:50 asubuhi umechelewa kanisani😰😰
unakurupuka unaenda bafuni kuoga na kupiga mswaki😾
Mbio mbio🏃🏽🏃🏽 kwenda kuvaa👚 unatoa nguo tu umeme unakatika👻👻 mama mamaa hujapiga pasi😬
Unatoa hivyo hivyo. unavaa ile unamaliza kuvaa tu mavi yanakubana☹☹
Unaenda chooni mbio mbio🏃🏽🏃🏽 unadondoka chini ....
mama kimoyo moyo unasema huu ni mkosi au😩😩unatoka chooni haraka haraka unajigonga ukutani puuu🤕...
Haraka haraka unafunga milango 🏃🏽🏃🏽mbioooo kwenda kwenda kuwahi usafiri unafika tu gari linakuja unasema asante mungu unacheki muda ni.saa 9:10am waaah😊unacheka kuwa utawahi mamaa yangu si unasema😟😟 ngoja ufunge kamba za viatu vizuri kumbe soksi umevaa rangi mbili tofauti🙆🏻😝😝...pale ulipokaaa unahisi baridi ya piga matakoni kumbe hujavaa chupi mama mama....😦😦 unaingiza mkono mfukoni utoe peni ooooh unatoa mswaki😆😆unaanza jiuliza nirud au ile unataka ghairi tu gar linasimama anapanda mshirika mwenzio wa kanisani 😬😬hapo sasa😆😆😆anaingia
Mshirika: aaah ebwana leo tumewahi sana
wewe: unaanza kujiuliz anaongea nin uyu🤔🤔
unachek kwa kuzuga eeeh tumewahi...🙂🙂
si mnashuka unafika kanisani unakuta watu wapo njeeee hawajaingia kwa kuvurugwa unamfata Pastor ujue nini kinaendelea😒😒
Wewe: eeeh bwana yesu asifiwe🙏🏾
Pastor: amen
Wewe: leo tumechelew kidogo
pastor: hapana hatujachelewa mpendwa leo tuna ibada maalumu inaanza saa 10:00am tume cancel misa zote za asubuhi kwa ajil ya ibada hii kuna mgen kutoka marekani
Wewe: aaaah☹☹
Mama mama aa linakushukaa unaanza kujuta kwanini ulikua unafanya haraka😆😆 Unatoka umenyon'gonyea kama umepoteza pesa afu umebaki na wallet tupu
10:00⏰⏰ ngweeee kengere linalia muingie kansani si mnaingia bwana ibada inaanza sasa kila mtu anageuka anakushangaa unajiuliza hawa vipi ..
mbona wananishangaa sana...unapotezea
Mara unaskia pastor
Pastor: watumish wa mungu tunyamaze na kutulia kwa dakika tumkumbuke kiongoz wetu aliefariki mwak jana mwez kama huu siku kama ya leo....😔😔
Mnanyamazaa kimyaaa🤐🤐 haijapita hata sekunde simu ina ita mama mama watu wanasikia mlio wa simu 'NASKIA HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAAA'🎤🎤😨😨 unaminyana kuizima badala ya kuzima kumbe unaongeza sauti mara unazima unakuta watu wote wanakuangalia wewe🙄🙄
Unatamani ulie😥😥 meseji inaingia inaita wimbo wa jason derulo ft.snoop dog -WIGGLE WIGGLE 😂😂unaanguka chini na kukaaa unaangalia watu wanakushangaa... kwa kuzuga huk akili ikosoma 3G zero na kwa kelele unasema mamaaa mke wangu kumbe kafarikiii😭😭 unaanza kulia bas watu wote wanajua ulikuwa umechanganyikiwa wanakubembeleza na ibada inaendelea ....
Sasa bwana ibada hiyooo ikaisha sas unatoka wat wanakuuliza msiba wafanyika wapi ..unazuga😔😔kwa unyonge unajibu unafanyika marekani mama mama yule pastor mgen si anatokea marekan .... akasema muongozane ukisafiri...😂😂 ukamwangalia kwa jicho baya huku ukiwa umevurugwa unarudi home umefika home cha kwanza unaenda kujiangalia kweny kioo hiv ni ww au jini lilikutembelea unafika kwenye kioo unakuta kumbe hukuchana nywele kumbe watu kansani walikua wakikushangaa nywele hujachana ...kumbe pale ulipoanguka na kukaa chini ulidondosha simu mama mama unaanza kuwaza simu sjaweka pattern afu kuna xx kibao mara unaskia hodiii kufungua ni mtoto wa pastor kapo👉🏼 shikamoo nimetumwa nilete simu ulidondosha unaanza kumchombeza mtoto ujue kama waliichokonoa simu yako
Wewe: asante simu haikuita ?
Mtoto wa pastor: no haikuita ila kuna mtu alituma video kwenye whatsapp baba akajua ni video za dini Akafungua aone kumbe ni video za ❌
Mama weee hapo unaweza ona dunia chungu😰😰😰
Unamjibu mtoto haya asante kwaheri
Haijapita sekunde umekaa kwa mshangaooo huko nje unaskia 👉🏼 'SUMU YA PANYA ,MENDE KUNGUNI VIROBOTO hahahaha😂😂😂