Kufuatia kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe, Freeman Mbowe ya kuwa CHADEMA hakijawahi teu wabunge wa viti maalumu kama inavyotakiwa na katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kuna maswali mengi juu ya wabunge hawa 19.
1.Nani? aliorganize ili kupata majina hayo 19.
2.Nani? alipeleka majina hayo 19 tume ya taifa ya uchaguzi.
3.Je Kuna watu waligushi saini za viongozi wa kitaifa wa CHADEMA?
4.Kama waligushi hizo saini za viongozi je hiyo siyo jinai?
5.Ni akina nani au nani ? Aligushi saini za viongozi wa CHADEMA taifa maana hawawezi wote wakagushi.
6.Kwa nini? Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi leo halijawafikuza Bungeni? ili hali CHADEMA wameshasema hao sio wanchama wao.
7.Je ? Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatudharau sisi wananchi wake tunaolipa Kodi ili Bunge lipate fedha ya kujiendesha.
8.Kukata rufaa kunaondoa hukumu iliyokwisha kutolewa?
9.Kwa nini kipindi CUF imewafukuza wabunge wake kadhaa waliondolewa Bungeni haraka sana tena,Spika alikuwa Nje ya nchi,kwa nini? hawa wanalindwa?
10.Je Spika wa bunge haoni kuwa anatumia mamlaka yake vibaya kuruhusu wabunge wasio na chama kuendelea kuwemo bungeni?
Binafisi ninaimani kubwa na Mhe Rais wa sasa SSH kwani ameonyesha kwa vitendo na dhamira ya kweli ya kuliponya taifa na kuleta upendo na kuheshimiana kati yetu.Ni Imani yangu hili seke seke atalimaliza vizuri.
Na nyinyi CHADEMA mteue wabunge wa viti maalumu na muwapeleke bungeni wakawawakilishe wananchi msitake Mhe Rais awe anawasikilize nyinyi tu madai yenu ni muhimu na nyinyi mkubali win win situation.
Ni hitimishe Uzi huu kwa kusema katika utawala wa tano taifa lilipitia wakati mgumu sana mfano watu kutekwa, watu kupotea, watu kuwekwa ndani kwa amri za wakuu wa mikoa na wilaya, watumishi wa umma kutopandishiwa mishara kwa miaka mitano mfululizo,wafugaji kunyang'anywa mifugo Yao na kupigwa mnada.
Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania sisi wananchi tuko nyuma yako thamani yako tunaijua #Kazi iendelee#