ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
and how would you describe CCM? the greatest thing to happen to Tanzania since the invention of fire?
Chadema ni political opportunists tu, hawana ajenda yoyote ya maendeleo. Wanaishi kwenye ndoto za kufika mahali fulani ili tu wapate hisia za kuwa huko zilivyo.
Habari nzuri ni kwamba hizi chaguzi zinawawezesha waliofungua macho kuona, sasa ni juu ya kila aliyeona kama atafanya maamuzi sahihi au lah.
Nadhani hujawahi kusoma documents mbalimbali zinazohusu vision ya chama hicho including manifesto waliyotumia 2005.
Unamaanisha manifesto ambayo baada ya uchaguzi CHADEMA wenyewe walikiri kuwa ilikuwa ni rasimu sifuri!!!?
Hatuhitaji Chama kinachoongozwa na theories kama hii ya political opportunitism, tunahitaji chama kinachokidhi mahitaji ya wananchi.
chadema haiwezi kuwa variable nzuri kwako balI CCM ambayo ilikuwa na bado ina mandate ya kukidhi mahitaji hayo.
Short Answer: Because CCM is synonymous with Tanzania's political system.Its incomprehensible the way chaps cant discuss CHADEMA without mixing stuff with CCM. Is this CCM mania or obcession?
Ndio stahiki zao hizo kutumia magari 24/7, unazungumzia marekani sie tupo Bongo sio kila kinachofanyika marekani ni applicable hapa.
Haya mambo ukiyaangalia kwa black and white yatakuchanganya hasa.
Mimi naona kuwe na sheria za kuhakikisha hawa viongozi wanapokuwa kwenye kufanya shughuli za vyama vyao basi wasitumie magari na resources zingine za serikali bila kujali ni wabunge au mawaziri. magari ya wabunge yamenunuliwa kwa pesa za wananchi; je wanapoyatumia kwenye kampeni za vyama vyao ni sahihi?
Mimi naomba kusaidia kujibu swali la nne
Anayelipia chopa ni mtu wa RA anawekeza upande wa pili just incase
Habari ndio hiyo
Tanzania kuna sheria za third party contribution kwenye kampeni? SIDHANI. Sasa kelele za kazi gani Chadema ikitumia hela za mtu binafsi kufadhili chopa? Hela za mtu binafsi ni tofauti na utumiaji wa hela za umma ilichofanya CCM! So point crushed...please try another one...
Mkuu heshima mbele, ni huyo huyo public enemy number one RA mkono wake unawekeza kwa Chadema
Sahihisho tu!
Siku hizi wabunge hawapewi magari wanakopeshwa hela na wananunua magari wanayopenda na ni mali zao! Nadhani ukimkopesha mtu sio kwamba umempa
Ingawa kwa case ya MPs kuna element kidogo za msamaha wa kodi na kwamba mkopo hauna riba.
Vi-inzi vinatakiwa tu kunasa magari ya mawaziri yale yenye number za W a NW...
Hata hivyo vi-inzi vinatakiwa kujua hayo magari pia yana STK namba pia.
Otherwise Masatu maswali mazuri.
1. Nauliza kwanini Chadema waligawa chupi na sidiria?
2. Nauliza kwanini Chadema waligawa biskuti?
3. Nauliza kwa nini Chadema ( wakiongozwa za Ziito Kabwe ) walichoma bendera za CCM?
4. Nauliza pesa za kukodi chopa zimetoka wapi?
5. Nauliza kwanini Chadema walipeleka mamluki kutoka Tarime kwenda kufanya fujo?
6. Nauliza kwanini Chadema walinunua vijana kwenda kwenye mikutano ya CCM na kuzomea?
7. Nauliza kwanini viongozi wa Chadema walikuwa wakitoka matamshi ya kuchochea uvunjwaji wa amani Busanda?
Maswali haya yanatakiwa kujibiwa na wafuatao
1. Freeman Mbowe
2. Dr Wilbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
Mkuu masatu maswali yako ni mazuri lakini naona umetaja watu wa kuyajibu sitwawasaidia. Mimi ningependa kujua kwa undani huu upande wa pili wa shiringi kwani mengine yote yalilipotiwa mbona hii kitu hata kwenye gazeti la chama cha kijani haikuonekana? Maana kwa ninavyowajua chama cha kijani wangeshikia bango. Report zote hazionyeshi kama hawa kulikuwa na vijana wa chadema wakifanya fujo lakini chama cha kijani ililipotiwa na picha zipo.
Mimi ningeomba source yako au labda kama ulikuwa huko physically.
Ni vizuri kupata habari kama hizi ili kujua ukweli ni upi.