Chadema ni political opportunists tu, hawana ajenda yoyote ya maendeleo. Wanaishi kwenye ndoto za kufika mahali fulani ili tu wapate hisia za kuwa huko zilivyo.
Habari nzuri ni kwamba hizi chaguzi zinawawezesha waliofungua macho kuona, sasa ni juu ya kila aliyeona kama atafanya maamuzi sahihi au lah.
With all due repect,chama cha kisiasa kisicho na akili ya kutumia political opportunity ni chama mfu.
Tafuta wasaa usome japo kidUchu kuhusu POLITICAL OPPORTUNITY THEORY,paying attention to the role of actors,utilization of available political opportunities and expected outcomes.
Ukishamaliza kusoma na kuelewa umuhimu wa kutumia political opportunities,then tuje kwenye hilo la Chadema kutokuwa na ajenda ya maendeleo.Wht do you mean?Au unazungumzia hawana ajenda ya maendeleo ya mafisadi?Nadhani hujawahi kusoma documents mbalimbali zinazohusu vision ya chama hicho including manifesto waliyotumia 2005.Wangekuwa hawana ajenda,let alone ya maendeleo,wasingeweza kushinda Tarime au kushika nafasi ya pili Busanda.Ni rahisi kwako ku-overlook achievements hizo kwa vile (kama ulivyomjibu Mwanakijiji) unataka kuiangalia Chadema nje ya political process ambayo it's almost completely under CCM's domination.
Kuishi kwenye ndoto ya kufika sehemu flani,e.g. IKULU,ni ndoto ya chama chochote cha siasa.Tunaita "ndoto" kwa vile haija-materialize.Kuota si dhambi,as long as ndoto hizo ni realistic.Chama cha siasa kisicho na "ndoto" za kutawala kinapaswa kiwe pressure group au interest group,ambako hatahivyo,pasipo vision kitakosa sifa stahili ya existance yake.
Tujisumbue kidogo kusoma angalau theories nyepesi za siasa lest we fall victims of arriving at conclusions from the air!