Salamu wana jukwaa wenzangu.
Nauliza maswali gani huulizwa kwenye nafasi ya accounts officer ii taasisi ya Tanzania aviation authority. Tusaidieni, wengine ndio mara ya kwanza kuitwa interview hizi za taasisi za serikali.

Pitia nondo zote za Financial Accounting bila kuacha kitu, vile soma Cost Accounting, Auditing, bila kusahau Management Accounting. Usahili ni maandalizi kila la kheri ndugu.