Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

Kuna siku mdau wangu mmoja niko chooni akaniuliza " Zurri unafanya nini ?". Nikamwambia "Nasonga UGALI$.

Mwingine mfano wa huyu,niko toi akaniuliza "Unafanya nini toi ?". Nikamjibu " Nasoma magazeti"

Mwingine niko toi anapiga hodi,nikawambia " Ingia". Akacheka sanaaaaaa.
 
1. Wewe kabila gani?
2.Una kitambulisho?
3.ushatembea na wanawake wangapi hadi sasa?
 
Mtu una nundu kichwani iliyotuna dhahiri, halafu unaulizwa ' brother, nundu hiyo kichwani ni nundu?'
 
unanipigia simu usiku alafu unaniulza vipi umelala.....

tuseme naongea na ww kutoka ndotoni au
 
Umetembea na wanawake wangapi hili swali huwa silipendi sana
 
Mtu anakupa namba yake unamtumia sms, anakuuliza "wewe ni nani? Na namba yangu umeipata wapi?".

Hua nawajibu nimepewa ofa na voda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…