Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

Umekata nywele kisha unakutana na rafiki yako na anakuuliza;

"Naona umekata nywele sio?" unamjibu "Hapana nimebadili tu kichwa"
 
Mtu anakuona kabisa unavuta Sigara kisha anakuuliza:
"Na wewe unavuta sigara?" unamjibu "mimi sivuti sigara bali nasukuma sigara"
 
UNANIPENDA?
Mtu unakuta unamfanyia kila kitu na upendo unamuonyesha anauliza swali la kijinga km hilo mi hua nakaaga kimya tu.
 
Mwingine unakutana nae anauliza "ndugu huonekani!" hua najibu nimekua mweusi eeh!!
 
”Gari yako umepaki wapi?”wakati hata baiskeli sina!
 
Mtu na mke wake walikuja kuangalia nyumba wanunue
Walipoingia kitchen mke akauliza aah hapa ni jikoni
Nikamwambia hapana ni chooni
 
Unamwomba contact unachat nae via sms unamwonesha tips anaelewa baadae ukimpigia anauliza kwani ulikua na shida gani
(Nilikua natafuta wadada wa kazi za ndani)
 
Back
Top Bottom