Christina84
Member
- Aug 5, 2017
- 74
- 50
Maswali ya kujiuliza ni mengi ila swali kubwa ni kujiuliza kama wewe mwenyewe umejiandaa kisaikolojia? je umejiandaa mapambano? umejiandaa kwa fitina na mizengwe? je umejiandaaje kwenye swala la Imani? maana kwenye biashara ni lazima uchague moja umtegemee mungu sana au utegemee nguvu za giza. ila kama hutegemei chochote hapo ndugu yangu utaanguka. hata kama ukiwa na mtaji wa mabilioni.Hello wapendwa,
nilikua nauliza maswali gani unatakiwa ujiulize binafsi kabla ya kuanzisha biashara....??
naenda kumuona business advisor,ila ningependa baada ya kupata ushauri wake nimuulize maswali ya aina gani,so that I get well informed and go ahead with a business or not...?
Maswali ya kujiuliza ni mengi ila swali kubwa ni kujiuliza kama wewe mwenyewe umejiandaa kisaikolojia? je umejiandaa mapambano? umejiandaa kwa fitina na mizengwe? je umejiandaaje kwenye swala la Imani? maana kwenye biashara ni lazima uchague moja umtegemee mungu sana au utegemee nguvu za giza. ila kama hutegemei chochote hapo ndugu yangu utaanguka. hata kama ukiwa na mtaji wa mabilioni.
ni hayo tu mkuu. mengine ni mbwembwe. mambo ya sijui ujiulize kuhusu market research sijui demand , sijui supply sijui location ni upuuzi tu. makubwa ni hayo niliyotangulia kuyasema.
karibu sana
Ni kweli hayo?Maswali ya kujiuliza ni mengi ila swali kubwa ni kujiuliza kama wewe mwenyewe umejiandaa kisaikolojia? je umejiandaa mapambano? umejiandaa kwa fitina na mizengwe? je umejiandaaje kwenye swala la Imani? maana kwenye biashara ni lazima uchague moja umtegemee mungu sana au utegemee nguvu za giza. ila kama hutegemei chochote hapo ndugu yangu utaanguka. hata kama ukiwa na mtaji wa mabilioni.
ni hayo tu mkuu. mengine ni mbwembwe. mambo ya sijui ujiulize kuhusu market research sijui demand , sijui supply sijui location ni upuuzi tu. makubwa ni hayo niliyotangulia kuyasema.
karibu sana
Kwenye biashara kila mtu ana imani yake na hilo halipingiki wala sio la kujiuliza. .Maswali ya kujiuliza ni mengi ila swali kubwa ni kujiuliza kama wewe mwenyewe umejiandaa kisaikolojia? je umejiandaa mapambano? umejiandaa kwa fitina na mizengwe? je umejiandaaje kwenye swala la Imani? maana kwenye biashara ni lazima uchague moja umtegemee mungu sana au utegemee nguvu za giza. ila kama hutegemei chochote hapo ndugu yangu utaanguka. hata kama ukiwa na mtaji wa mabilioni.
ni hayo tu mkuu. mengine ni mbwembwe. mambo ya sijui ujiulize kuhusu market research sijui demand , sijui supply sijui location ni upuuzi tu. makubwa ni hayo niliyotangulia kuyasema.
karibu sana
dah yani umempa fact kaka yani umeyaongea haya huku umekaza macho niceMaswali ya kujiuliza ni mengi ila swali kubwa ni kujiuliza kama wewe mwenyewe umejiandaa kisaikolojia? je umejiandaa mapambano? umejiandaa kwa fitina na mizengwe? je umejiandaaje kwenye swala la Imani? maana kwenye biashara ni lazima uchague moja umtegemee mungu sana au utegemee nguvu za giza. ila kama hutegemei chochote hapo ndugu yangu utaanguka. hata kama ukiwa na mtaji wa mabilioni.
ni hayo tu mkuu. mengine ni mbwembwe. mambo ya sijui ujiulize kuhusu market research sijui demand , sijui supply sijui location ni upuuzi tu. makubwa ni hayo niliyotangulia kuyasema.
karibu sana