Maswali kuhusu Queen Elizabeth na utawala wake

Kuna Uzi humu tumemzungumzia sana
Ana nguvu sana
Ana uwezo wa kuvunja baraza lote
Hata kama ni bunge la Australia anavunja akitaka

Huyo bibi hana tena nguvu alisha vuliwa kinga nyingi sana.... Sasa hivi hana tofauti na Faru Fausta.. Yupo tu kama kivutio cha utaliii

Malkia wa Uingereza, nini kazi zake?

Malkia hana nguvu kiutendaji na kimaamuzi kama nilivyosema...amebakia kama nembo tu ya nchi ya uingereza. yeye anaishi Buckingham palace. mwenye nguvu kiutendaji ni waziri mkuu ambae ndio mkuu wa serikali.
 
nackia huyu bibi alikutana na Mwal. Nyerere akampa mkono bila kuvua gloves et Mwalimu nae akamshikisha fimbo yke km mkono

Juzi niliona anakagua benki ya dhahabu

G.O.M.D
Jamaa una story nzuri sana ila ipo nje ya mada husika
 
Ikitokea Queen Elizabeth kafariki, madaraka atakuanayo mtoto wake mkubwa wa kiume ambae atakua mfalme sasa. Ryt?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa kuongezea tu japo ni nje ya mada. Huyo mdogo wake na malkia Elizabeth, Magreth(Princess) ndiye ambaye hospitali yetu ya sasa Muhimbili(MNH) iliitwa kwa jina lake yaani Princess Magreth Hospital kabla ya baadae kubadilishwa jina na kuitwa MNH.
Na kwa kuongezea tu japo ni nje ya mada. Huyo mdogo wake na malkia Elizabeth, Magreth(Princess) ndiye ambaye hospitali yetu ya sasa Muhimbili(MNH) iliitwa kwa jina lake yaani Princess Magreth Hospital kabla ya baadae kubadilishwa jina na kuitwa MNH.
 
Em nielewesheni kodogo, kwahio kama queen Elizabeth (first born)angekua na mdogo wake wakiume ndo angeapishwa kua king badala ya Elizabeth soon after kifo cha baba yao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakabla haijaitwa princess Magreth ilikua inaitwa Sewe, ambalo n jina la aliekua mjenz na mmiliki wa hiyo hospital. Nyongeza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…