Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Kuna Uzi humu tumemzungumzia sana
Ana nguvu sana
Ana uwezo wa kuvunja baraza lote
Hata kama ni bunge la Australia anavunja akitaka
Huyo bibi hana tena nguvu alisha vuliwa kinga nyingi sana.... Sasa hivi hana tofauti na Faru Fausta.. Yupo tu kama kivutio cha utaliii
Malkia wa Uingereza, nini kazi zake?
Malkia hana nguvu kiutendaji na kimaamuzi kama nilivyosema...amebakia kama nembo tu ya nchi ya uingereza. yeye anaishi Buckingham palace. mwenye nguvu kiutendaji ni waziri mkuu ambae ndio mkuu wa serikali.