Maswali kwa rais Kikwete na yatokanayo

Kwani na wewe uliuliza mpaka useme hujapata majibu yoyote ya maana au unawakilisha kundi lipi la watanzania ? Wafisadi ?
 
Jamani rais wetu anaanza kijuibu kila swali kwa kucheka kidogo! Sijui masihara au ndo alivyo
 
Zombe issue ndani ya nyumba lakini yeye anaongelea historia ya mahakama na ... bla bla bla tuuuu
 
Kwa hiyo hukumu ya zome inahusiana nini na upungufu wa mahakimu<???????
 
Hapana nasema hakuna kitu. JK anatoa maelezo badala ya kujibu maswali yenyewe
 
Mi nasubiri kusikia akimalizia issue ya Zombe
 
Mbona anajichekesha chekesha tu kwenye hili la Zombe....
 
Swali la Zombe ni mtego asipokuwa makini ataingilia uhuru wa mahakama.
 
Kipindi kikiisha tuhesabu jumla ya maswali aliyojibu...
 
na dakika tisiniiiiii karibu zinayoyoma na wananchi hawajapata jibu....................
 
Instead of answering questions, this guy is telling stories.
 
Kuhusu Zombe amesema kwamba serikali imekata rufaa, wanaamini kwamba akina Zombe walikuwa na hatia
 
Anacheka , watu hawana barabara yeye ana gigle !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…