MwanaumeKwani wewe unayeuliza maswali hayo ni jinsia gani?
Mimi ninaona kinachosababisha utoe hewa chafu wakati wa kukojoa ni kukaza PC muscle vibaya,ukikaza PC muscle vizuri hakiwezi tokea kitu kama hicho.Na kujua kama PC muscle umekaza vibaya au vizuri,wakati wa kukaza,mishipa ya uume ikiuma,jua hapo umekaza vibaya,na isipouma,hapo umekaza inavyotakiwa.#2 nadhani uhusiano upo ndo maana usipobana Makalio unaruhusu mkojo utoke na ukiwa unakojoa Kuna wengine huwa wanajamba kabisa sababu Makalio unakuwa free ndo maana wanasema mvua mda mwingine ina ambatana na radi Yaan kukojoa sometimes Kuna ambatana na kujamba
sasa unauliza maswali yanayopaswa kuulizwa na mademuMwanaume
Demu hawezi uliza swali kama hili.sasa unauliza maswali yanayopaswa kuulizwa na mademu
UsinichosheDemu hawezi uliza swali kama hili.
Takriban viungo vyote ktk mwili wa binadamu vinategemeana ktk kufanya kazi yaani cor orditation.1) Ni kitu gani kinacho-connect penis na anus?
2) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati unajisaidia haja ndogo?
3) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati wa ku-ejaculate?
4) Hauhisi kuhusika kwa penis au anus unapohema?
Kama havina uhusiano wowote,kwanini unapokaza misuli ya makalio,penis na anal vinakaza at the same time?Takriban viungo vyote ktk mwili wa binadamu vinategemeana ktk kufanya kazi yaani cor orditation.
Swali no 1: penis na anus hakuna conection yeyote. Penis ina lymph tisue ambazo zimesuplied na blood capillariries.
Anus haijakonectiwa na penis. Ila yenyewe imesulyiwa muscles za sphinters.
Swali no 2: wakati wa kujisaidia hakuna mahusiano yeyote kati ya penis na anus. Ila kinachofanyika pale ni kujenga force ambayo itakuwezesha wewe kutoa kinyesi. Na hiyo force hujengwa kutokana na contraction and relaxsation ya misuli yote mwilini sometimes hadi misuli ya sura huhusika.
Swali no 3: jibu lake nimejibu on number 2.
Kumbuka penis inategemea cordination ya macho brain nacreseptor za kichwa cha **** na mapigi ya moyo.
Anus inategemea a triger respond of expamsion ya utumbo mnene. Sphinter masozi na cordination ya ubongo