Maswali kwa wanaume tu

Maswali kwa wanaume tu

Mi sifatiliagi hivyo vitu ilimradi nimekidhi mahitaji yangu., ukitaka kujuwa zaidi kamuone daktari atakupa elimu tosha.
 
#2 nadhani uhusiano upo ndo maana usipobana mkundu unaruhusu mkojo utoke na ukiwa unakojoa Kuna wengine huwa wanajamba kabisa sababu mkundu unakuwa free ndo maana wanasema mvua mda mwingine ina ambatana na radi Yaan kukojoa sometimes Kuna ambatana na kujamba
 
#2 nadhani uhusiano upo ndo maana usipobana Makalio unaruhusu mkojo utoke na ukiwa unakojoa Kuna wengine huwa wanajamba kabisa sababu Makalio unakuwa free ndo maana wanasema mvua mda mwingine ina ambatana na radi Yaan kukojoa sometimes Kuna ambatana na kujamba
Mimi ninaona kinachosababisha utoe hewa chafu wakati wa kukojoa ni kukaza PC muscle vibaya,ukikaza PC muscle vizuri hakiwezi tokea kitu kama hicho.Na kujua kama PC muscle umekaza vibaya au vizuri,wakati wa kukaza,mishipa ya uume ikiuma,jua hapo umekaza vibaya,na isipouma,hapo umekaza inavyotakiwa.
Kwa sababu anal na penis vinaunganishwa na PC muscle,tunaweza kuufananisha muungano wa penis,PC muscle na anal kama fimbo,kamba na jiwe.Penis,PC muscle na anal vinafanya kazi pamoja kama fimbo,kamba na jiwe vinavyofanya kazi pamoja katika mfumo huu.Unganisha fimbo,kamba na jiwe halafu viweke kamba na jiwe juu ya meza huku fimbo ikining'inia kwa chini lakini iguse ncha ya meza.Ukilivuta jiwe utaona fimbo nayo inainuka(inakaza).Hapa kamba(PC muscle) ndiyo kiungo muhimu,kumbe ndiyo maana PC muscle inakazaniwa sana.
 
1) Ni kitu gani kinacho-connect penis na anus?
2) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati unajisaidia haja ndogo?
3) Kuna uhusiano wowote wa penis na anus unaouhisi wakati wa ku-ejaculate?
4) Hauhisi kuhusika kwa penis au anus unapohema?
Takriban viungo vyote ktk mwili wa binadamu vinategemeana ktk kufanya kazi yaani cor orditation.
Swali no 1: penis na anus hakuna conection yeyote. Penis ina lymph tisue ambazo zimesuplied na blood capillariries.
Anus haijakonectiwa na penis. Ila yenyewe imesulyiwa muscles za sphinters.

Swali no 2: wakati wa kujisaidia hakuna mahusiano yeyote kati ya penis na anus. Ila kinachofanyika pale ni kujenga force ambayo itakuwezesha wewe kutoa kinyesi. Na hiyo force hujengwa kutokana na contraction and relaxsation ya misuli yote mwilini sometimes hadi misuli ya sura huhusika.

Swali no 3: jibu lake nimejibu on number 2.
Kumbuka penis inategemea cordination ya macho brain nacreseptor za kichwa cha mboo na mapigi ya moyo.
Anus inategemea a triger respond of expamsion ya utumbo mnene. Sphinter masozi na cordination ya ubongo
 
Takriban viungo vyote ktk mwili wa binadamu vinategemeana ktk kufanya kazi yaani cor orditation.
Swali no 1: penis na anus hakuna conection yeyote. Penis ina lymph tisue ambazo zimesuplied na blood capillariries.
Anus haijakonectiwa na penis. Ila yenyewe imesulyiwa muscles za sphinters.

Swali no 2: wakati wa kujisaidia hakuna mahusiano yeyote kati ya penis na anus. Ila kinachofanyika pale ni kujenga force ambayo itakuwezesha wewe kutoa kinyesi. Na hiyo force hujengwa kutokana na contraction and relaxsation ya misuli yote mwilini sometimes hadi misuli ya sura huhusika.

Swali no 3: jibu lake nimejibu on number 2.
Kumbuka penis inategemea cordination ya macho brain nacreseptor za kichwa cha **** na mapigi ya moyo.
Anus inategemea a triger respond of expamsion ya utumbo mnene. Sphinter masozi na cordination ya ubongo
Kama havina uhusiano wowote,kwanini unapokaza misuli ya makalio,penis na anal vinakaza at the same time?
 
Back
Top Bottom