masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Kwanza naomba nianze kwa kujitambulisha..
Mimi ni mkazi wa Tanzania na nimejiunga jamii forum zaidi ya miaka kumi sasa lakini niliifahamu JF miaka mitatu kabla ya hapo.
NB kujiunga miaka kumi haimaanishi kuwa account hii ndio inamiaka kumi hivyo usipelekee kwenda kwenye profile yangu na kuangalia nimejiunga lini..
Kwanza nafarijika niliposikia kuwa wewe ni zao la chuo cha DTI hapa mwanza. Maana na mimi niliishia kuchukuwa form tu pale ilemela lakini kwa sababu fulani sikuweza kusoma hapo...
Mimi napenda kujua kuwa.. hili wazo la kuanzisha forum hii ulipata wapi na nini kilikusukuma. (nilishasoma historia ya JF ilipotokea kabla ya kuwa JAMII FORUM)
lakini je, uliwahi kuwaza JF inaweza kuwa na madhara (impact) makubwa namna hii katika Tanzania na dunia kwa ujumla?
Je, hizi changamoto unazokutana nazo leo. Kama kesi, kutetea wateja wako ambapo kimsingi hata haukuwatuma kuandika walichoandika lakini selikari inakubana wewe na kukulaza sero kwa kosa la mtu mwingine, kujikuta unalazimika kutetea haki za wananchi hasa kwa makosa ya kimtandao.
Lakini jingine hivi ulijua kuwa kitu unachanzisha kinaweza kusababisha
! / watu kuanzisha mahusiano na hatiamye ndoa? Hivyo Jf kuwa sehem ya historia wa familia ya watu fulani.
! /Jf Kuwa sehemu ya ulevi wa watu kiasi kwamba mtu asipoingia JF yaani hajisikii poa kabisa..
! /lakini pia Jf kuwa sehem ya mahusiano ya watu kuvunjika au kuyumba kwa sababu watu wanakutana humu na kuaminika kiasi cha Kusaliti mahusiano yao.
JF kuwa sehem ya watu kufanya biashara za kila aina lakini pia ni sehem ya watu kufanya utapeli wa kimtandao.?
Lakini pia na wewe leo ni kati ya watu ambao tutakapoongea kuhusu ukuaji wa mitandao ya kijamii na wewe jina lako haliwezi kosa.
ulikuwa umeshajipanga nalo au kulijua kabla? Au mengine yanatokea kama surprise na wewe unashangaa kuwa kumbe kitu ulichokianzisha kimesababisha jambo fulani.