Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kuhangaika kwao kwa ashiria wanajua mwisho wao umewasili lakini wafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhangaika kwao kwa ashiria wanajua mwisho wao umewasili lakini wafanyaje?
Baba Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu
Mama anapiga kampeni kutetea kile anachofaidi, ni mme wa Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu
Riziwani anapiga kampeni kutetea wanachofaidi, ni mtoto Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu
Huyu Miraji kikwete sijui ni ni nani lakini kama si mtoto basi ni ndugu wa Rais na mgombea kutetea nafasi hiyo kupitia ssm kwa kodi zetu, huyu nasikia anashirikiana na watu wajuzi wa computer IT kwenye NEC ili kuchakachua matokeo ya Urais, si mmesikia kuwa matokeo yatatumwa kwa njia ya internet?
kazi kwetu, mwenye zaidi aongeze, habari ndo hiyo
Hivi kweli tuko tayari kuongozwa na Mtu anayesema Uraisi ni Suala la Kifamili?
Nomba majibu hasa kutoka kwa wana CCM na mashabiki wa Kikwete Pale wanafamilia wanapofanya mambo bila ya idhini ya vikao vya chama, wanapoingilia shughuli za serekali tutapata matunda gani?
CHadema hii ni Agenda nzuri sana, waelezeni watanzania jinsi hii familia inavyoingia kwa kasi kwenye kuendesha nchi! Tunapoenda kunaweza kutokea machafuko kuanzia ndani ya CCM, mana nina uhakika wengi wananung'unika tu na kuwa WANAFIKI kwa kufikiria Kikwete ni mzuri kwao. 2005 alikuwa karibu na Mafisadi, huu ni muhula wake wa mwisho anataka kuwa karibu na Familia yake...huyu mpindisha Sheria anaweza kubadili katiba ili aweze kurithisha URAIS kwa familia yake!!!
Hafai kabisa kuogoza nchi!!
Inauma sana mkuu wa mkoa anapoamriwa kumfuata mtoto wa raisi, au mtoto/mke wa raisi kudai report kutoka kwa mkuu wa mkoa au kiongozi wa serekali!
Wana CCM msione aibu kumkataa Kikwete. Mkimkataa itakuwa ni kwa manufaa yenu, familia zenu na taifa kwa Ujumla!
guys tusiishie kupiga sound tu tukaacha kwenda kupiga kura.