Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Je mpira wa kurushwa ukirushwa mpaka golini na goli likaingia bia mpira kuguswa na ama na mchezaji au kipa ni goli?
Iwapo goli ya kujifunga inahesabiwa ya aliyejifunga iwapo yeye ana magoli 20 na mwenzanke ana 19,halafu akajifunga na atahesabiwa ana magoli 21,nani mfungaji bora?
Wafungaji bore wamelingana magoli moja akajifunga nani anapewa tuzo ya mfungaji bora?
Mpira umepigwa ukimgonga refa na kuingia golini hiyo goli inahesabiwa?
Mpiga foul anaruhusiwa kusogea nyuma hadi kuvuka mstari ule mpira ukitoka unarushwa?