Maswali magumu kwa atheist

Mkuu.

Nakwambia hivi, mimi nikiamini Mungu ndiyo naweza kukufanyia ubaya.

Nikitaka kukufanyia ubaya wowote, sikosi mstari wa Biblia au Quran wa kuhalalisha ubaya wangu.

Nisipoamini Mungu ndiyo nakuwa mtu poa kuliko hao wanaoamini Mungu.
Pitia huu uzi mkuu⬇️

 
Hakuna uthibitisho wa kisayansi wa kuwapo kwa Mungu katika uzi huo.

Mimi naweza kukupa uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu perfect hayupo.

God is supposedly the most perfect entity. God is the fullness of perfection.

In Physics, perfection in any state is measured by entropy. Refer to the second law of thermodynamics.

Using entropy and the second law of thermodynamics, as entropy increases, order decreases,perfection decreases.

So, the most perfect state of being is the one with 0 entropy.

So if God exists, God has 0 entropy.

So, in science, what does it mean to have 0 entropy?

In science, having the ultimate 0 entropy means non-existence. Once any entity moves from non-existence to existence, it increases entropy from 0 to something, it moves from perfection to some imperfection.

What does this mean in terms of God? This means, in scientific terms, in terms of entropy, the perfect God does not exist. That God has 0 entropy, and therefore, is in non-existence, therefore, that God does not exist.

I have provided a full scientific account, using entropy and the second law of thermodynamics, to show you that a perfect God does not exist.

QED.
 
MUNGU HAYUPO.... kitendo cha wewe kuamini yupo hakibadilishi hilo. Kubishana hapa kati ya wanaoamini na wasioamini haina maana ila jaribu kutambua tu kwamba ukifa hamna mahali unaenda.
 
Mungu anataka tumpende at our own will....unconditionally..
 
Kwa maovu yanaondelea tu duniani utajua Mungu yupo na anapigwa vita wazi wazi na hizi ni zama za mwisho, lets open our eyes.. mifano michache tu kama ushoga kuenea, kulawiti watoto, watu kubadili jinsia kwa operation na wengine kuongeza au kubadili maumbo na miili yao, kafara za waganga, cloning, depopulation, madawa ya kulevya, vita, economic sanctions, porno, ufisadi, riba , dp 🌍 na mengine mengi utajua shetani yuko vitani full time na ajenda yake ni moja tu kupata wafuasi wa kutosha! Mfano skendo ya balenciaga kampuni kubwa kama ile na ajenda za ku sexualize watoto unafkiri bahati mbaya? Hollywood kukomalia themes za uchoko ni bahati mbaya? mainstream artists wa mbele kuimba kuhusu drugs, money and suicide ni by chance? Vp kuhusu cults symbols imagery tunazooneshwa na watu maarufu mbali mbali yan ni mzaha tu. Kama evil inapigiwa chapuo kiasi hiki then wanajaribu kuuficha mwanga ila mwanga haufichiki hata iweje endeleeni kusema Mungu hayupo mabaradhuli evil agents wakubwa!
 
unatafuta ukweli adje sasa kwa kumuhoji mwanadamu mwenzako? Soma vitabu vya dini ndo vina majibu yako.... Likija suala la imani sio mabishano ya mechi za VPL mkuu.
Vitabu vya Dini gani Sasa maana Dini zipo zaidi elfu moja
 
Una akili
 
 
Kama unasema alikuwa na uwezo huo uliosema na bado hakufanya Kama ulivyotaka au Kwa kadiri ya mawazo yako yaani vyovyote vile, Basi jua alifanya hivyo Ili upatikane wewe usiye amini na wapatikane watakao amini.

Yesu angeweza kumsubiri Tomaso mpaka arudi ndo ajitokeze Kwa mitume wake wote, lakini alitokea wakati Tomaso hayupo.

Heri wasioona wakaamini. It's okay kufikiria Kama MUNGU hayupo, fanya Mambo yako yote ukiamini, Human being emerge, exist and perish. Ni kweli ipo siku utapotea kwenye uso wa Dunia, utakufa na historia yako itaishia hapo, lakini ni heri ungeamini, maana ungekufa na matumaini, kuliko kufa Kama wanavyokufa, paka, mbwa na hayawani wengine.

This is time bro.
 
Kwa nini huyo Mungu anataka kuaminiwa yupo akiwa mafichoni, Badala ya kujulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani?

Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?
 
Kwa nini huyo Mungu anataka kuaminiwa yupo akiwa mafichoni, Badala ya kujulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani?

Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?
Atakuja siku na majira yaliyo amriwa
 
Atakuja siku na majira yaliyo amriwa
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.

You don't need to speak on behalf of God, let him come to speak for himself if he can.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…