Maswali Magumu

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
Its about Love na hii hisia ya Mapenzi.
Nina maswali machache ambayo nimekuwa nikijiuliza:

1. Hii hisia ya love inawezaje kugawanyika?
Kwa kugawanyika nina maana kuna love za aina nyingi. Kwa mfano mzazi na mtoto, kaka na dada, marafiki, na wapenzi. Nadhani tunaweza kukubaliana kuwa mapenzi yanakuwa tofauti katika hizi relationships. Ni kitu gani kinatofautisha hii hisia katika haya mazingira tofauti? Ni nini hasa kina control hii? Kuna watu wanaoshindwa kutofautisha hii hisia katika haya mazingira tofauti? Kama wapo, tunawaita ni wagonjwa wa nini? Je tunaweza kusema homosexuality inatokana na watu kushindwa kutofautisha hii hisia? Je ni ugonjwa wa akili?

2. Kwa nini katika relationship ya wapenzi, conclusion inakuwa ngono? Kwa nini ukimpenda mtu huwezi kuishia kula naye lunch au kucheka naye kama unavyofanya katika hizo relationships nyingine? Kwa nini inakuwa lazima mfanye mapenzi?
Au kwa upande mwingine, naweza kuuliza; kwa nini kufanya mapenzi nje ya ndoa ndio uasi mkubwa kwa mwenzio? Wengine wanasema 'umetoa penzi letu nje'. Kwa nini inakuwa ivi?
Ivi kama conclusion ya love isingekuwa kufanya mapenzi, je kutoka nje ya ndoa ingekuwa na impact yeyote kwenye hiyo relationship?

asanteni
 
1. Hizo hisia zinagawanyika automatically na wasioweza kutofautisha kati ya mapenzi kwa mwanae na mapenzi kwa mpenzi ni mgonjwa wa akili!
2. Hiyo ni dhana tu tuliyojijengea....ndo maana hata ukiwaita baadhi ya marafiki zako wa kike/kiume mpenzi wanashtuka kwasababu wanassociate mapenzi na ngono.Au hata mpenzi wako akisikia unamwita mtu mwingine mwenye jinsia tofauti na yako mpenzi nae lazima aanze maswali!Ila sio lazima iwe hivyo!!
Hilo swali la tatu ngoja nisome zaidi majibu ya wengine!
 

Kugawanyika automatically kivipi? Ukikuzwa katika mazingira tofauti yenye maadili tofauti utashindwa kutofautisha hizi hisia mbalimbali za mapenzi?
Huo ugonjwa wa akili unaitwaje? Je homosexuality nayo ni ugonjwa wa akili?
 
Hakuna majibu? au maswali hayaeleweki?
 
Magumu...na hivi unavyoendelea kuongeza ndo kabisaaaaaaaaa:smow:

sasa sio ndio discussion yenyewe! tunastimulate brain kidogo na kujifunza kipya! au sio?
 
Kuna aina kama nne ninazozijua. sizikumbuki herufi vizuri. 1. heros upendo wa kimwili. unawahusu marafiki, majirani, nk. 2 storch upendo wa kifamilia unawahusu baba. kupenda mtoto mtoto kumpenda baba au mama. nk. 3.phileo. upendo wa mwanadamu kumpenda Mungu. inawezekana kwa sababu fulani. 4.agape. upendo wa Mungu usio na sababu. ashe.. nale..
 

ungefafanua zaidi ingekuwa bora. Au kutuelekeza kwenye waandishi...
 
ungefafanua zaidi ingekuwa bora. Au kutuelekeza kwenye waandishi...

Eros. romaticism ni upendo wa mapenzi, mahaba, na mahusiano. kupitia upendo huu watu ufikia hatua ya kuoana phileo. friendship upendo wa kirafiki famili kupenda gari. nyumba. pesa nk. agape spiritual upendo mkuu una msingi katika eros na phileo. google phileo au eros utayapata haya ashe.. nale..
 
Kha toa swali moja acha moja
bia zimepanda bei kupita kiasi
sitaki kuwaza sana maana Zita
yeyuka haraka .. otherwise
niulize kwa njia rahisi na
weka kwenye sentence moja
Asante
 
Kha toa swali moja acha moja
bia zimepanda bei kupita kiasi
sitaki kuwaza sana maana Zita
yeyuka haraka .. otherwise
niulize kwa njia rahisi na
weka kwenye sentence moja
Asante

We mtoto wewe...embu kua na heshima kwa wakubwa zako!
 
Kha toa swali moja acha moja
bia zimepanda bei kupita kiasi
sitaki kuwaza sana maana Zita
yeyuka haraka .. otherwise
niulize kwa njia rahisi na
weka kwenye sentence moja
Asante

hahaha...haya bwana. Bia wapi hii w/end?
kukuuliza kwa njia rahisi ni namna gani?
 
hahaha...haya bwana. Bia wapi hii w/end?
kukuuliza kwa njia rahisi ni namna gani?

pale pale pa weekend
kuna 21st this weekend
na kuna kule mtaa wa juu
ipi unaenda hahahahah lol

we swali ulilo uliza hapo juu rahisisha kidogo
na weka kwenye sentensi moja au mbili tu
na uliza swali mmoja baada ya lingine. Asante
Ijumaa njema
 
Kunatofauti katika hisia za mapenzi, upendo huu hugawanyika kiasilia, kuna vielement fulan vijengavyo mapenzi, ampavyo hutofautisha aina hz za mapenzi. Ktk wapenzi ngono ndio hitimisho ya mambo yote, ndio dhamila kuu ya mapenzi!
 
Kunatofauti katika hisia za mapenzi, upendo huu hugawanyika kiasilia, kuna vielement fulan vijengavyo mapenzi, ampavyo hutofautisha aina hz za mapenzi. Ktk wapenzi ngono ndio hitimisho ya mambo yote, ndio dhamila kuu ya mapenzi!

kitu gani hasa kinaleta huo mgawanyiko? Hizo element ni nini? Ni hormones?
 
pale pale pa weekend
kuna 21st this weekend
na kuna kule mtaa wa juu
ipi unaenda hahahahah lol

we swali ulilo uliza hapo juu rahisisha kidogo
na weka kwenye sentensi moja au mbili tu
na uliza swali mmoja baada ya lingine. Asante
Ijumaa njema

21st ipo wapi? kwake au kwako?hahaha
inaanza saa ngapi hadi saa ngapi? ni-pm info nitakuwa free
Swali ambalo unaweza kuanza kujibu ni jinsi gani hisia ya mapenzi inavyoweza kujigawanyisha into level mbalimbali za mapenzi. Kwa mfano mapenzi ya mzazi na mwana, mapenzi ya dada na kaka, mapenzi ya marafiki na mapenzi wa wapendanao. How does it all happen?
Swali nililomuuliza Lizzy, je inaweza kuwa kwa homosexuals, wanatokea kuchanganya hizi level za mapenzi?
 
mmmhhhhh.....maswali magumu ila yana ukweli ndani yake.............
 
majibu ya maswali yako too obvious, hisia za upendo zimegawanyika, huwezi kumpenda dada yako kama unavyompenda mpenzi wako na ndio katika mapenzi lazima kui involve tendo la ndoa, manake mnapopendana mnaaminiana kiasi cha kuachiana miili yenu, yaani kivingine kwenye romantic relationship kuna kuwa kuna u selfish fulani, labda kama mapenzi yenu yamevuka hatua za awali na kufikia level ya kuwa ma soulmate yaani no matter where your soulmate alipo una confidence kuwa ni wako hata awe na nani, hivyo vyote vinatokea automatically kutokana na asili na yes naamini homosexuals wana matatizo ya akili, kwa sababu hawafuati mifumo ya asili ya mahusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…