Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Its about Love na hii hisia ya Mapenzi.
Nina maswali machache ambayo nimekuwa nikijiuliza:
1. Hii hisia ya love inawezaje kugawanyika?
Kwa kugawanyika nina maana kuna love za aina nyingi. Kwa mfano mzazi na mtoto, kaka na dada, marafiki, na wapenzi. Nadhani tunaweza kukubaliana kuwa mapenzi yanakuwa tofauti katika hizi relationships. Ni kitu gani kinatofautisha hii hisia katika haya mazingira tofauti? Ni nini hasa kina control hii? Kuna watu wanaoshindwa kutofautisha hii hisia katika haya mazingira tofauti? Kama wapo, tunawaita ni wagonjwa wa nini? Je tunaweza kusema homosexuality inatokana na watu kushindwa kutofautisha hii hisia? Je ni ugonjwa wa akili?
2. Kwa nini katika relationship ya wapenzi, conclusion inakuwa ngono? Kwa nini ukimpenda mtu huwezi kuishia kula naye lunch au kucheka naye kama unavyofanya katika hizo relationships nyingine? Kwa nini inakuwa lazima mfanye mapenzi?
Au kwa upande mwingine, naweza kuuliza; kwa nini kufanya mapenzi nje ya ndoa ndio uasi mkubwa kwa mwenzio? Wengine wanasema 'umetoa penzi letu nje'. Kwa nini inakuwa ivi?
Ivi kama conclusion ya love isingekuwa kufanya mapenzi, je kutoka nje ya ndoa ingekuwa na impact yeyote kwenye hiyo relationship?
asanteni