Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
NBC watakuja kuona hiyo miaka 3 ni mingiMuhimu huyo mdhamini kapatikana mpira ukachezwe, makampuni na mashirika siku hizi hayana pesa TFF wanayabembeleza kuidhamini ligi mpaka wanalia.
Bora Azam anategemea return kwenye vin'gamuzi hao NBC wao return yao wataipata wapi? au kwenye kufungua akaunti?
Kama Vodacom udhamini uliwashinda sijui NBC kama watapata kitu, muhimu NBC watakachotoa kiongezwe na kile cha Azam maisha yaende.
Barclays england unaelewa waliweka ngapi?Muhimu huyo mdhamini kapatikana mpira ukachezwe, makampuni na mashirika siku hizi hayana pesa TFF wanayabembeleza kuidhamini ligi mpaka wanalia.