Maswali matano tu kuhusu huu udhamini wa NBC kwa TFF

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
1- Udhamini shilingi ngapi?

2- Mgawanyo utakuwaje kwa vilabu, sawa au mgawanyo kwa thamani ya vilabu?

3- Mechi zilishokwisha chezwa included katika mafikirio au mechi zinahesabiwa kuanzia siku ya kusainiwa mkataba?

4- Kwani muongozo mzima wa hili dili unasemaje ? TUPEWE ELIMU HAPA

5- Itakuwa Mlima wa Kijani na Twiga mweusi au Mlima mweusi na Twiga wa Kijana kwa Wale waasisi? (MAANA HAKUNA NAMNA)
 
Muhimu huyo mdhamini kapatikana mpira ukachezwe, makampuni na mashirika siku hizi hayana pesa TFF wanayabembeleza kuidhamini ligi mpaka wanalia.

Bora Azam anategemea return kwenye vin'gamuzi hao NBC wao return yao wataipata wapi? au kwenye kufungua akaunti?

Kama Vodacom udhamini uliwashinda sijui NBC kama watapata kitu, muhimu NBC watakachotoa kiongezwe na kile cha Azam maisha yaende.
 
Maswali yako mengi yatajibiwa na TFF na NBC leo hii kuanzia saa tatu asubuhi. Wait ✋
 
Nani kakuambia NBC hatafaidika ?
Wataalamu wa masoko wameona fursa wakampeleka NBC mezani.
In finance there is no free lunch
 
Muhimu huyo mdhamini kapatikana mpira ukachezwe, makampuni na mashirika siku hizi hayana pesa TFF wanayabembeleza kuidhamini ligi mpaka wanalia.

Bora Azam anategemea return kwenye vin'gamuzi hao NBC wao return yao wataipata wapi? au kwenye kufungua akaunti?

Kama Vodacom udhamini uliwashinda sijui NBC kama watapata kitu, muhimu NBC watakachotoa kiongezwe na kile cha Azam maisha yaende.
NBC watakuja kuona hiyo miaka 3 ni mingi
 
Unataka furaha ya kuuona mpira ukiboreshwa.....umeboreshwa chini ya KARIA kutoka kule kupata milioni 7 kila klabu kwa msimu mzima.....

Sijui tunataka uwekezaji wa MATRILIONI?!!

Kwa uchumi gani wa nchi yetu?!!
 
S mbaya mkuu ndo uwezo wao apo kikubwa tuwaombee NBC wafanye biashara Kama azam wanavofanya kwenye vifurush vya azam
 
Muhimu huyo mdhamini kapatikana mpira ukachezwe, makampuni na mashirika siku hizi hayana pesa TFF wanayabembeleza kuidhamini ligi mpaka wanalia.

Bora Azam anategemea return kwenye vin'gamuzi hao NBC wao return yao wataipata wapi? au kwenye kufungua akaunti?

Kama Vodacom udhamini uliwashinda sijui NBC kama watapata kitu, muhimu NBC watakachotoa kiongezwe na kile cha Azam maisha yaende.
Barclays england unaelewa waliweka ngapi?
Kama uwezo wako wa kufikiria mambo ya uwekezaji ktk masoko hufahamu. Inabidi utulie tu.
Ktk biashara fahamu watu ni mtaji wa kufanya mambo yaende.

NBC wamepewa hiyo fursa ya kutumua watu wa mpira wakuze kitabu chao.
 
Back
Top Bottom