Maswali Matatu Mhimu Kujiuliza: Ni nini? Kwa nini? na Namna Gani?

Maswali Matatu Mhimu Kujiuliza: Ni nini? Kwa nini? na Namna Gani?

8691jakigili

Senior Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
179
Reaction score
67
Ili tuendelee kama taifa ni lazima tujiulize maswali matatu haya muhimu: (What? Why? and How?)

(1) Nini tunataka tuwe kama taifa? Falsafa yetu kama taifa ieleweke bayana kwa kila Mtanzania.
(2) Kwa nini tunataka tuwe hivyo kama taifa? Kama mtu hajui aendako basi ataishia popote. K.m. angalia bunge letu tukufu lilivyokosa mwelekeo (ni mithili ya boya lililokosa mwelekeo baharini).
(3) Ni namna gani na njia zipi tutafikia malengo yetu? (mbinu na mikakati iliyo dhahiri).

Nawaomba wanajamvi mnitatulie mtanziko ndani ya nafsi yangu. Kila ninapowaza jinsi taifa letu linavyoelekea naona kama majibu ya maswali hayo hapo juu sipati.
 
Mkuu thread kama hizi za maana huwezi kuwapata wachangiaji, wao wamekazana kwenye majukwaa ya udaku mpira na mapenzi lakin humu sahau.
 
3..(how),thru eliminating all sources of expoitation done by leaders such as Jk and his team..tutafikia malengo,kwani kama kujituma tu,watz tunajtuma xana.
 
Back
Top Bottom