Nakazia hapa na mm nasubiri jibuWewe ni ke au me
Nakazia hapa na mm nasubiri jibu
Hiyo avatar ni nini kilikushawishi mpaka ukaitumia mkuu?!
2. Kama mwanamke unafanya nini kuhakisha unaleta mabadiliko ya kiuchumi kwenye familia yako?!
3. Kama una watoto, je, ungependa watoto wako wajivunie nini kutoka kwako?!
Selassie INilikuwa Rasta, na nilikuwa mpenzi wa rege sana, kati ya watu nilikuwa Nawapenda haswah ni lucky dude,
Mabadiliko ya kiuchumi naleta kwa kupigan a usiku na mchana kuhakikisha mambo yana kwenda sawa, ikiwa ni Pomoja na kufanya au kujishughulisha na shughuli ambazo wengine wanaona hazifai au sio hadhi yao
Watoto wangu Napenda wajivunie uchapa
kazi wangu
Zingatia kichwa cha habari hapo juu, ntajibu Matatu ya mwanzo tu,
Twende kazi