Maswali mepesi na muhimu kwa Humphrey Polepole kuhusiana na 'kifo' kwa Magufuli

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

1756827633118.png

1756827671430.png

1756827841100.png

Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu.

Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walihusika kifo cha rais John Magufuli ambaye kifo chake cha ghafla bado kinaendelea kuzua utata.

Je, ilikuwaje Polepole akaficha jambo baya na zito kama hili ilhali akijua ni jinai? Je, Polepole aliogopa au kungoja nini hadi aje na madai haya miaka mitatu baada ya jinai kufanyika?

Je kuna namna alitaka au anataka kunufaika na kujua jinai hii? Je ilikuwaje alikaa kimya muda mrefu hadi wakati huu wa uchaguzi? Je, kuna mengi tusiyoyajua wanayoyajua wahusika akiwamo Polepole?

Je, Polepole anatoa madai haya kama kete ya kutaka majadiliano na mfumo ili aweze kunyamazishwa kwa kupewa ulaji zaidi?

Je, Polepole ameweka wazi yote anayojua au kuna mengine ameyaficha kama alivyokuwa amefanya tangia mwanzo? Je, kwanini wahusika hawampingi Polepole hata kutishia kumshitaki kwa 'kuwazushia', 'kudanganya na kuhadaa' umma?

Je, asemayo Polepole ni uzushi ua ukweli?
NAJIWAZIA KIMYA KIMYA.
1756827890527.png
 
View attachment 3462833​

View attachment 3462835
View attachment 3462836

View attachment 3462837
iInaonesha jinsi ulivyo mshamba wa mambo; jinai inapotekelzwa na kufanikiwa kutendeka (kosa la vitendo) huwa halifi linahojiwa wakati wowote hata kama itachukua miaka kadhaa. Kwa nchi kama Tanzania ambayo haipo tayari kulinda watoa siri wakati wahusika wangali bado hai pamoja na kuwa na sheria ya kulinda watoa siri hatari inayokuwepo ni pale mwenye mamlaka anapokuwa corrupt kuwa compromised na yue anayetuhumiwa.
2. Muda ndio umeshafika na hata hivyo hili suala halijaanza leo kutakiwa kuchunguzwa matokeo yake watawala kwa kuwa kwa namna moja au nyingine wanafahamu wahusika na walikubaliana jinsi gani sababu iwasilishwe kwa wananchi kuwatuliza kama sababu iliyotajwa ya kifaa cha kuongeza umeme wa moyo kushindwa kufanya kazi yake ndipo mauti ikatokea kitu ambacho ni uongo mtupu.
Laiti ingekuwa ni kifaa cha umeme moyo kushindwa kufanya kazi uhai ungekatika wakati JPM akiwa ama
a) Chato alikoanzia safari ya gari kuelekea Dar
b) Njiani wakati wa msafara ambao kasi yake haipungui kilomita 200 kwa saa
c) Dodoma
d) Morogoro ambako isivyo kawaida na kinyume cha ratiba yake aipumzika kwa ajili ya kuendelea na majukumu yaliyojitokeza nje ya ratiba yake
e) Daraja la Kijazi-Ubungo
f) Kurasini kufungua kiwanda cha sare za jeshi la polisi
g) Ufunguzi wa televisheni ya Channel ten na zingine baada ya kuzirejesha kwenye ummiliki wa CCM kutoka mfanyabiashara RA aliyekuwa amepewa kinyemela na viongozi wasio waadilifu
h) Kanisa la St Peters alikoenda kusali trehe 21 Februari 2021
1756831964939.png

1756832049954.png

1756832130823.png

Siku ya mwisho Rais Magufuli kuonekana hadharani

1756832311862.png

1756832457680.png

Inasemekana JPM alifariki ndani ya wiki au siku kumi tangu aonekane hadharani tarehe 27 Februari 2021 ambapo ni kati ya tarehe 8 Machi au 11 Machi 2021 na sio siku ya tarehe 17 Machi 2021 kama ilivyotangazwa

Makamu wa rais Samia Suluhu alianza ziara mkoa wa Tanga
Mar 17, 2021

View: https://youtu.be/QytYaJawbxY

1756834054586.png

1756834103410.png

1756834616716.png

1756834699609.png

Kama ziara ya makamu wa raisi ilianza tarehe 15 Machi 2021 ni dhahiri alikuwa anafahamu alikokuwa na hali ya afya yake maana ndiye alikuwa msaidizi mkuu na kwa kawaida wasaidizi wa raisi kila siku wanawasiliana na rais kumpatia ripoti za masuala mbalimbali yahusuyo nchi naebeo yaliyogatuliwa na katiba kiutendaji. Makamu wa rais alianza ziara mkoani Tanga akitokea Zanzibar bila shaka
Wito ulitolewa mapema sana na baadhi ya wananchi wakihoji kifo cha ghafla cha rais wao bila umma kutaarifiwa kuhusu hali ya afya yake.
 
iInaonesha jinsi ulivyo mshamba wa mambo; jinai inapotekelzwa na kufanikiwa kutendeka (kosa la vitendo) huwa halifi linahojiwa wakati wowote hata kama itachukua miaka kadhaa. Kwa nchi kama Tanzania ambayo haipo tayari kulinda watoa siri wakati wahusika wangali bado hai pamoja na kuwa na sheria ya kulinda watoa siri hatari inayokuwepo ni pale mwenye mamlaka anapokuwa corrupt kuwa compromised na yue anayetuhumiwa.
2. Muda ndio umeshafika na hata hivyo hili suala halijaanza leo kutakiwa kuchunguzwa matokeo yake watawala kwa kuwa kwa namna moja au nyingine wanafahamu wahusika na walikubaliana jinsi gani sababu iwasilishwe kwa wananchi kuwatuliza kama sababu iliyotajwa ya kifaa cha kuongeza umeme wa moyo kushindwa kufanya kazi yake ndipo mauti ikatokea kitu ambacho ni uongo mtupu.
Laiti ingekuwa ni kifaa cha umeme moyo kushindwa kufanya kazi uhai ungekatika wakati JPM akiwa ama
a) Chato alikoanzia safari ya gari kuelekea Dar
b) Njiani wakati wa msafara ambao kasi yake haipungui kilomita 200 kwa saa
c) Dodoma
d) Morogoro ambako isivyo kawaida na kinyume cha ratiba yake aipumzika kwa ajili ya kuendelea na majukumu yaliyojitokeza nje ya ratiba yake
e) Daraja la Kijazi-Ubungo
f) Kurasini kufungua kiwanda cha sare za jeshi la polisi
g) Ufunguzi wa televisheni ya Channel ten na zingine baada ya kuzirejesha kwenye ummiliki wa CCM kutoka mfanyabiashara RA aliyekuwa amepewa kinyemela na viongozi wasio waadilifu
h) Kanisa la St Peters alikoenda kusali trehe 21 Februari 2021
View attachment 3462894
View attachment 3462897
View attachment 3462899

Siku ya mwisho Rais Magufuli kuonekana hadharani

View attachment 3462900
View attachment 3462904
Inasemekana JPM alifariki ndani ya wiki au siku kumi tangu aonekane hadharani tarehe 27 Februari 2021 ambapo ni kati ya tarehe 8 Machi au 11 Machi 2021 na sio siku ya tarehe 17 Machi 2021 kama ilivyotangazwa

Makamu wa rais Samia Suluhu alianza ziara mkoa wa Tanga
Mar 17, 2021

View: https://youtu.be/QytYaJawbxY

View attachment 3462926
View attachment 3462927
View attachment 3462930
View attachment 3462931

Kama ziara ya makamu wa raisi ilianza tarehe 15 Machi 2021 ni dhahiri alikuwa anafahamu alikokuwa na hali ya afya yake maana ndiye alikuwa msaidizi mkuu na kwa kawaida wasaidizi wa raisi kila siku wanawasiliana na rais kumpatia ripoti za masuala mbalimbali yahusuyo nchi naebeo yaliyogatuliwa na katiba kiutendaji. Makamu wa rais alianza ziara mkoani Tanga akitokea Zanzibar bila shaka
Wito ulitolewa mapema sana na baadhi ya wananchi wakihoji kifo cha ghafla cha rais wao bila umma kutaarifiwa kuhusu hali ya afya yake.

Du! Naomba muda nisome mipasho yako japo inaonekana ni copy and paste. Fadhali.
 
Back
Top Bottom