Maswali na majibu kuhusiana maambukizi ya HIV kupitia mdomo

Maswali na majibu kuhusiana maambukizi ya HIV kupitia mdomo

Dah aya maambukizi muda mwingine naona ni kama mipango ya mungu,mi mwenyewe Nilikuwa na uhusiano na mwanamke mmoja hivi nili muamini kwa macho nikapiga kama mara tatu kwa muda tofauti baada ya kama wiki mbili Nikapata scandal zake kwamba tayari amesha athirika Si nika mwambia tukapime na kweli kwenda kupima akakutwa na maambukizi cha ajabu hata akushangaa Kumbe Alikuwa anajijua mimi nikawa negative Sina maambukizi niliachana nae hapohapo na kila mtu akapita Njia yake. Nilikuja kupima kama mara4 kwa muda wa mwaka nipo vizuri.so sometimes ni mipango ya mungu tu Huwez kupindisha akiandika na ndiyo inakuwa hivyo so nikumuomba mungu tu akuepushie mbali
Unaweza kusemw ni nini kilisababisha usipate vurus?
 
Back
Top Bottom