Maswali na majibu kuhusu Alliance In Motion Global

Kuna jamaa yangu kajiunga anaona keshatoboa..... ameniomba nijiunge nimekataa nadhani amejipa muda kuja kunionesha mafanikio yake hapo baadae [emoji23]Hajui mm mkongwe nimeijua forever 2013 na hawakunishawishi kujiunga ndo iwe AIM-Global 2020.

Mwaka huo 2013 natoka chuo Kuna jamaa akaniambia Kuna fursa ya baishara Dodoma hotel nihudhurie nilipoenda nikakutana na watu wa Forever living anyway niliwasikiliza ila sikujiunga hawakunishawishi maana kuna mdada aliongea ameacha kazi ya 2m salary na anapiga hela forever sikuelewa....Basi wakamleta na Prof mmoja wa Udom naye kaajiunga apate kipato cha ziada[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

All in all hizi biashara wanauza DREAMS....kwa mtu ambaye umefanya biashara na una uzoefu nadhani unajua ilivyo tight kuanza biashara na kupata profit ndo maana start up nyingi zinakufa mapemaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tufukue makaburi toka 2018, up to 2020 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nilikutana na dada anasema ni doctor ameacha kazi nikasema kimoyo moyo hapa hapa nataka nimuumbue, nikaanza kumuliza clinical cases za magonjwa na zile diet supplement zao (wanazo ita dawa) dada akabaki anatoa macho.

Nikamuliza umesomea nn, Nurse attendant nikamjibu sawa, sikumuliza tena swali ndo biashara ikaisha ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…